FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tumelipa madeni yote tuliyokuwa tunadaiwa.

Now tuko free kusajili mchezaji tunayemtaka bila vikwazo.
 
Dili letu la kumsajili Nico Williams linaenda kutimia next week.

Japo Bilbao wanatuwekea ngumu.
 
Hilo dogo Nico Williams limeamua lifie Bilbao mi nashangaa Barca kwanini walikua wanalihangaikia uwezo wenyewe wa kawaida sana
 
Hilo dogo Nico Williams limeamua lifie Bilbao mi nashangaa Barca kwanini walikua wanalihangaikia uwezo wenyewe wa kawaida sana
Bora angeenda hata bayern lakn yey anataka kufia bilbao
 
Kafanya upuuzi sawa na ule upuuz wa Haaland au kuna project kavutiwa nayo ndan ya club
Hakuna cha project yoyote.

Dogo na agent wake walikomalia mkataba wa maandishi kuhusu registration yake.

Barca walimwambia tutamalizana na Bilbao ila kuhusu usajili uwe mvumilivu tutakusajili la liga badae mambo yakikaa sawa.

Dogo akaona kama vile ni kamali mbaya kwake akachomoa.
 
Career yake ndio itaishoa hapo Bilbao
 
Anachukulia masihara muache ajikute mfia timu na nahisi kaka yake hataki dogo awe mkubwa kumzidi yeye
Dogo kafanya uamuzi wa kijinga sana.

Labda kama ataamua kuondoka Bilbao.

Kinyume na hapo asahau makombe na ukubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…