FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Naona dili la Joan Garcia linaweza kukamilika wakati wowote.

Huyu ni kipa wa espanyol.

Tukimsajili Stegen anauzwa.
 
Jaman Culers moja ya kitu ninachoomba ,Barca tusimsajili Luis Diaz ,yaan itakuwa ni ujinga kutoa the hefty amount kwa yule jamaa,bora tukomae na Nico Williams au Leao
 
Jaman Culers moja ya kitu ninachoomba ,Barca tusimsajili Luis Diaz ,yaan itakuwa ni ujinga kutoa the hefty amount kwa yule jamaa,bora tukomae na Nico Williams au Leao
Yule jamaa hatufai maana hawez kuendana na uchezaji wa barca
 
Yaan Deco akimsajili yule jamaa nitamuona ni boya tu kama Abidal

i
Lakin kwa N.williams bayern wameweka mpunga alaf atakuwa na uhakika wa kucheza kwa sabab bayern wanataka kuachana na SANE
 
Jaman Culers moja ya kitu ninachoomba ,Barca tusimsajili Luis Diaz ,yaan itakuwa ni ujinga kutoa the hefty amount kwa yule jamaa,bora tukomae na Nico Williams au Leao
Kabisa usajili wake siuelewi kabisa.

Bora Nico au Rafael lead.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…