Tatizo la hii mechi ni kwamba hakuna goli ambalo inter atafungqa Barca ashindwe kurudisha na hakuna goli Barca atafunga inter atashindwa kufunga tunashuhudia vituko,ila inter angeamua kucheza mpira hii game ingekaa mapema maana wanao uwezo ,kukaa chini kunawasababishia washindwe kuhimili pressure ya Barca wacheze mpira wako Bora kuliko Barca