FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barcelona akishinda hii mechi nitaamini uchaw upo duniani
Ishu sio uchawi, timu zote mbili zina makosa yanayofanana ambayo ni ulinzi. Wengi wanaamini Inter ndiyo timu yenye safu nzuri ya ulinzi kitu ambacho sio kweli, walinzi wa Inter wanafanya makosa mengi sana hata Bayern alipata pochi nyingi sana kwa Inter ila walishindwa kutulia kutumia nafasi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…