Hey cules.
Leo usiku tupo lisbon kukiwasha na Benfica.
Kumbuka game yetu ya mwisho na hawa tuliwafunga 5 kwa 4.
Wana kisasi na sisi ila naamini vijana wetu watapambana.
Nitafurahi tukiwatoa hawa jamaa nakumbuka walitukatili sana UCL 2021 walitufunga 3 bila.