Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,077
Game ishaisha hii. Hakuna namna Carlo Ancellot akajioange tu na mechi zinazofuata. Akafunge mchezo asijefungw 7.
Atasugua sana Martinez akiludUchezaji wa Araujo hauna tofauti na wa Juma Nyoso uhuni mtupu Barca sijui walidanganyika na urefu.
Hatujapoa tupo Catalunya tunasherekea ubingwa.Mbona wanangu wa Barça mmepoa?