FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Msimu huu mkikutana na Madrid ,mtajuta kuingiza timu uwanjani.
Mamaeee huku vini huku Mbappe huku Rodrigo huku bellingham ,ni mpera mpera mwanzo mwisho
Mtajua kilichomtoa manyoya kuku kishingo
Nitakuja kukujibu tukishamchukua Nico william
 
Nicco Williams na Dani Olmo wataleta uimara kwa kiasi kikubwa sana kwenye ushambuliaji wetu kama tutawapata wote.

Shida yetu inabaki kwa defensive midfielder. Bila kumpata mtu wa maana hapo, bado tutapata tabu!
 
Vipi uwezekano wa kuwapata hao madogo ni mkubwa
 
Dani Olmo ameonyesha nia ya kutaka kucheza Barcelona. Hapo kazi inabaki kwetu kufikia mahitaji ya kifedha.

Nicco Williams, uongozi wa Barca umeonyesha direct interest na mazungumzo yameanza upande wa club na mchezaji mwenyewe. Nadhani kinachosubiriwa ni Nicco mwenyewe atoe greenlight. Nadhani wiki hii mambo yataenda vizuri.
Vipi uwezekano wa kuwapata hao madogo ni mkubwa
 
Duuh sawa
 
Sijui lini tutarudi kwenye ubora wetu wa kutawala soka duniani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…