FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nyakati ngumu hazidumu, we'll come back stronger to reclaim our lost throne.
Lost throne ipi labda?

1. UCL
Barca 5
Madrid 14, la 15 linakuja soon

2. LA LIGA
Barca 27
Madrid 35, la 36 linakuja

3. CLUB WORLD CUP
B 3
RM 5 + 3 ya intercontinental cup, jumla 8

4. EUROPEAN SUPER CUP
B 5
RM 5

5. COPA DEL REY
B 31
RM 20

6. SUPER CUP
B 14
RM 13

Kama throne unamaanisha COPA DEL REY hapo sawa
 
Timu yetu ya wanawake imetuwakilisha vema fainali ya UEFA ya wanawake.
 
Tukiachana na kile kipigo cha 8-2, hata kwenye hii sub ambayo ilienda kumnyima ubingwa Messi alihusika, yeye ndio alimshauri Joachim Low amtoe Klose na kumuingiza Gotze... kwa hiyo jamaa amewaachia kumbu kumbu mbaya ambazo hazisahauliki mashabiki wa Barcelona mara mbili
 
Mwakani tukichukuwa tena UEFA tutawakabidhi na nyie maana sasa mmechoka kushabikia clubs nyingine zikicheza na MADRID kwenye final za UCL. ONGEZENI UKUBWA WA MAKABATI YENU TUTAWALETEA KOMBE NA NYIE
 
Msimu huu mkikutana na Madrid ,mtajuta kuingiza timu uwanjani.
Mamaeee huku vini huku Mbappe huku Rodrigo huku bellingham ,ni mpera mpera mwanzo mwisho
Mtajua kilichomtoa manyoya kuku kishingo
 
Msimu huu mkikutana na Madrid ,mtajuta kuingiza timu uwanjani.
Mamaeee huku vini huku Mbappe huku Rodrigo huku bellingham ,ni mpera mpera mwanzo mwisho
Mtajua kilichomtoa manyoya kuku kishingo
 

Attachments

  • 20240716_175905.jpg
    298.4 KB · Views: 22

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…