SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,411
Palikua na tetesi za Bernado Silva hivi karibuni. Nadhani City wamuwekea ngumu kusepa. Tumgempata yule kijana, ingekua hatari sana kwa wapinzani.Baada ya Messi saga,Priority kwa Sasa ni ;
√ Defensive Midifilder
√Attacking Midfielder
√ Striker
√Right back
Nafasi ya DM( Xavi anamtaka Zubimendi au Kimmich( Dili ngumu sana hizi) ngoja tusubiri.)
Attacking Midfielder( Xavi anamtaka Gundogan for free( Uamuzi upo kwa Gundo mwenyewe)
Striker ( inasemekana dogo kutoka palmeiras Vitor roque).
Bernado silva kumpata kwa sasa ni ngumu Bado La liga FFP inatubana sana ,Gundogan ndio tunaweza kumpata kwa free kama ataamua kuja.Palikua na tetesi za Bernado Silva hivi karibuni. Nadhani City wamuwekea ngumu kusepa. Tumgempata yule kijana, ingekua hatari sana kwa wapinzani.
Naona kuna Joshua Kimmich pia dizain kama anaitamani Barca!Bernado silva kumpata kwa sasa ni ngumu Bado La liga FFP inatubana sana ,Gundogan ndio tunaweza kumpata kwa free kama ataamua kuja.
Huyo kuja ndo kabisaa tusahau Bayern hawawezi mtoa kirahisi,Zubimendi nae dili limeshakuwa gumu.Kwa Sasa Deco amewa scout Joao palhinha (Fulham) na Florentino Luis( Benfica),tunahitaji sana DM kwa sasa.Naona kuna Joshua Kimmich pia dizain kama anaitamani Barca!
Tusamehe mkuu. Sisi tunafuatilia output yao uwanjani, sio output yao chooni. Tusamehe sana mkuu!
Umemjibu kitaalamu sanaTusamehe mkuu. Sisi tunafuatilia output yao uwanjani, sio output yao chooni. Tusamehe sana mkuu!
We mean business when it matters!View attachment 2700245
Nyie kenge barcenyeto mnapigwa mpka na arsenyeto
Tunawaomba robo fainali Uefa ndo utajua arsenal hawajawahi kuwa seriousView attachment 2700245
Nyie kenge barcenyeto mnapigwa mpka na arsenyeto
Gavi mzee, Pedri mzee, Fati mzee, Ferran mzee, Araujo mzee, Dest mzee, Dembele mzee, Kounde mzee, Balde mzee, De Jong mzee.Nyie vitungu,, zama zenu zinaenda mwisho, subilini vipigo tu msimu hu na wale wazee wenu
Kuna mchezaji wa ku doubt ila sio Gundogan mkuu labda fafanua hapa. Gundogan anaongeza quality na experience kwa middle za Barca.Nina wasiwasi na gundogan
Huyu nje ya Pep sidhani km ata deliver
Jibu Zuri hiliGavi mzee, Pedri mzee, Fati mzee, Ferran mzee, Araujo mzee, Dest mzee, Dembele mzee, Kounde mzee, Balde mzee, De Jong mzee.
Vijana ukiwa nao wewe inatosha. Kama huamini, leta team yako msimu huu!
Share yetu kwenye hiyo 50M ni ndogo sana ndo maana Barca wanasita kufanya negotiations so sidhani kama itatosha kumpata Silva na City walishaeka ngumu kumuuza.Naona Dembele kawakubalia PSG, hiyo 50M tumalizane na City watupatie Bernado Silva.