Nimeona baazi ya source zikisema barca wanataka kumrejesha Pep, iwapo man city watapewa adhabu, na kama atakuja basi ataambatana na Alvares pamoja na Rodri, je wakuu hii imekaeje kwa pep kurejea au team abaki nayo xav

Ikiwa Bayern Munich itamaliza nafasi ya 2 kwenye Bundesliga na Fc Barcelona ikashinda La Liga basi kuna uwezekano mkubwa kwamba Bayern na Barcelona wanaweza Kupangwa kundi moja la UCL msimu ujao... 😂🔥
Ikiwa Bayern Munich itamaliza nafasi ya 2 kwenye Bundesliga na Fc Barcelona ikashinda La Liga basi kuna uwezekano mkubwa kwamba Bayern na Barcelona wanaweza Kupangwa kundi moja la UCL msimu ujao...