U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Jan 13, 2023 #32,882 Jumapili Ni final baada ya jana barcelona kumfurusha real bets kwenye hatua ya nusu fainali Ilikuwa mechi tamu
Jumapili Ni final baada ya jana barcelona kumfurusha real bets kwenye hatua ya nusu fainali Ilikuwa mechi tamu
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Jan 13, 2023 #32,883 Final Barcelona vs Madrid Sunday night
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Jan 13, 2023 #32,884 Niliwahi kusema humu wachezaji km Ansu fati Mephs depay Torres Rafinha Auba Sio wachezaji wanaoweza kufit mfumo wa xavi kucheza Sasa wameambiwa watafute timu
Niliwahi kusema humu wachezaji km Ansu fati Mephs depay Torres Rafinha Auba Sio wachezaji wanaoweza kufit mfumo wa xavi kucheza Sasa wameambiwa watafute timu
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Jan 13, 2023 #32,885 Ndondoo muhimu Sergio busquets jana alicheza mechi ya mia saba Ni mchezaji wa tatu kucheza mechi nyingi na barcelona baada ya Xavi na mchezaji bora wa duniani wa wakati wote Messi
Ndondoo muhimu Sergio busquets jana alicheza mechi ya mia saba Ni mchezaji wa tatu kucheza mechi nyingi na barcelona baada ya Xavi na mchezaji bora wa duniani wa wakati wote Messi
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Jan 13, 2023 #32,886 Sikuwa na imani na Xavi juu ya uwezo wake kuinoa barcelona lakini msimu huu nimeanza kukiona kwake anaweza akawa kocha mzuri
Sikuwa na imani na Xavi juu ya uwezo wake kuinoa barcelona lakini msimu huu nimeanza kukiona kwake anaweza akawa kocha mzuri
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Jan 13, 2023 #32,887 Dembele ni mchezaji mwenye kipaji ila ni mchezaji mvivu na asiyejali hii inamuondolea ubora wake Angekuwa hatari sana km angekuwa na dicpline ya mchezo
Dembele ni mchezaji mwenye kipaji ila ni mchezaji mvivu na asiyejali hii inamuondolea ubora wake Angekuwa hatari sana km angekuwa na dicpline ya mchezo
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Jan 13, 2023 #32,888 Stegen ametunza clean sheets 12 kati ya 16 kwenye mechi za Laliga msimu huu
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Jan 13, 2023 #32,889 Christensen,araujo na kuonde ndio ukuta bora zaidi kwa Sasa duniani
SMART GHOST JF-Expert Member Joined Feb 3, 2020 Posts 2,657 Reaction score 10,411 Jan 13, 2023 #32,890 Hao madridiots inabidi wapigwe hiyo Sunday. Wanaleta sana mazoea!
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 1,180 Reaction score 598 Jan 13, 2023 #32,891 uwe hodari said: Christensen,araujo na kuonde ndio ukuta bora zaidi kwa Sasa duniani Click to expand... plus MATS.......
uwe hodari said: Christensen,araujo na kuonde ndio ukuta bora zaidi kwa Sasa duniani Click to expand... plus MATS.......
Mrkahawa Member Joined May 15, 2021 Posts 33 Reaction score 18 Jan 15, 2023 #32,892 Channel gani mnaandalia mpira
T Temps Senior Member Joined Jul 11, 2022 Posts 134 Reaction score 265 Jan 15, 2023 #32,893 HT: Madrid 0 - 2 Barcelona
SMART GHOST JF-Expert Member Joined Feb 3, 2020 Posts 2,657 Reaction score 10,411 Jan 15, 2023 #32,894 Cha tatu!
toobiter JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 1,421 Reaction score 2,791 Jan 19, 2023 #32,895 Dah uzi umetelekezwa
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Jan 20, 2023 #32,896 Tunawasubiri tena madrid tuwakande kwenye copa delarey
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,633 Jan 20, 2023 #32,897 Ubusy mkubwa tunaingia kwa kulenga humu toobiter said: Dah uzi umetelekezwa Click to expand...
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jan 22, 2023 #32,898 Kila la kheri getafe
SMART GHOST JF-Expert Member Joined Feb 3, 2020 Posts 2,657 Reaction score 10,411 Jan 22, 2023 #32,899 Carrasco putin said: Kila la kheri getafe Click to expand... Mmetushindwa nyie madridiots, mnawatupia mzigo Getafe?
Carrasco putin said: Kila la kheri getafe Click to expand... Mmetushindwa nyie madridiots, mnawatupia mzigo Getafe?
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jan 22, 2023 #32,900 SMART GHOST said: Mmetushindwa nyie madridiots, mnawatupia mzigo Getafe? Click to expand... Duhhh mmeanza kuwa mdomo barcenyeto
SMART GHOST said: Mmetushindwa nyie madridiots, mnawatupia mzigo Getafe? Click to expand... Duhhh mmeanza kuwa mdomo barcenyeto