Alonso na Christensen sijawahi kuwaelewa kabisa.Kukosekana kwa Araujo kwenye defense yetu ni pigo kubwa kwenye mechi muhimu kama hii. Itakua nafuu kidogo kama wataanza Pique na Garcia angalau kidogo wanafahamiana. Kuwategemea wageni akina Alonso na Christiansen pekee inakua too risky!
Ushindi wetu uko mbele pale. Front line yetu inatakiwa kua makini sana na kutumia vyema nafasi zote zitakazopatikana. They need to compensate what we lack in our defense.
Visca Barca!
Mimi Alonso namuelewa kiasi, nahisi anahitaji muda. Christiansen sikuwahi kumzingatia kabla hatujamsajili. Ila kwa Belerin, nadhani tumepata mtu sahihi upande ule.Alonso na Christensen sijawahi kuwaelewa kabisa.
Xavi akiondoa uspanish atawin unamuacha kesi unamuweka Gavi, balde unamuweka Alonso, Raphina pia simuelewi kabisaBarcenyeto mnacheza kama mpo period [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Never and never again[emoji23]Barcenyeto View attachment 2378210
Iko wapiIago aspas hat trick
Hiyo ilikuwa second half,kuna mechi unashinda ila hukucheza vizuri ndio mpira ulivyo.Kikubwa 3 points.Jana Celta vigo waliwakimbiza Sana Barca yaani utasema Jamaa wako mazoezini ni vile tu bahati haikuwa upande wao.