El Chapito
Member
- Apr 28, 2020
- 63
- 65
#culersVisca el Barca![]()
#culersVisca el Barca![]()
#culers
Kabebwe nawewe kama una huo uwezoWamebebwa hao! Hamuwezi mpira kwa sasa

,,nafasi ya 3 kutoka ya 8 November.

Pole SanaKwa jirani moto unawaka, wanapigika huko tayari Mbappe kashawaweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona Kaka yenu Mess alivyopigwa na Real Madrid?Kabebwe nawewe kama una huo uwezo,,nafasi ya 3 kutoka ya 8 November.
Kama unaweza turudishe![]()
Kwa jirani moto unawaka, wanapigika huko tayari Mbappe kashawaweka.
Sent using Jamii Forums mobile app



ngoma ya watoto haikeshiHawa kina ertugrul leo tuwapige ngapi jamaningoma ya watoto haikeshi



Hawa kina ertugrul leo tuwapige ngapi jamani![]()
Wewe si jirani yetu.Jirani yetu ni Atletico Madrid kwahiyo acha kujipendekeza.Kwa jirani moto unawaka, wanapigika huko tayari Mbappe kashawaweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kuwapiga goli nyingiJamani,what has happened to Messi-huyu sio Messi tunayemjua-au mfumo PSG uko tofauti- Messi ghafla kawa ordinary player anakuwa outplayed na Benzema.
Hawa wa Turkey leo itapendeza kama tutawapiga goal nyingi