FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Legends sio wa kuwaamini sana.......Xavi anaweza feli pia
Guardiola kipindi anapewa Barca watu walisem hvy hvy ujiuliz kwnn timu nying sana kwasas duniani zinatumia legends kama makocha wao sbb wanajua falsafa za timu Barcelona kwa falsafa zetu hakuna kocha aliye sokoni then legends ni wazuri kwa kutengeneza projects sbb wanajua timu inaenda wapi inataka nini na inatafuta nini
 
HV koeman cyo legend wa barca??
 
Timu nyingi zinatumia legends ila ni failed projects Zizzou mara ya pili madrid ni failed project, Arteta, lampard, solskjaer, Gattuso pale millan, kenny darglish liverpool, wengi ni failed projects.....Nje ya guardiola ni nani aliefanikiwa mkuu? au Koeman si legend wenu? .....

Ila tumpe muda anaweza fanya vizuri sana japo ligi yao sio ya kusema ni mtu bora sana
 
Naona nyie takataka mmeleta xavi mkaona haitoshi mmeleta na Dani alves mnadhani ukocha ni kucheza makinda makinda
 
We mpumbavu kweli unajua anachokifanya xavi kwa sasa.

Xavi ana restore our beloved cruyff philosophy ana restore our DNA.

Nenda youtube kacheki training session za barca under Xavi uone jinsi training intensity yetu ilivyoongezeka.

Japo itamchukua mda timu kukaa sawa but barca itarudi tu kuwa timu tishio.

Hater kaa kwa kutulia.
 
Wewe wapi wewe jiandaeni kukandwa haswa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom