Haya ni matokeo mazuri sana kwetu barcelona...kwani ndio ufunguo wa kuingia katika ukarabati mkubwa wa kikosi,leo barca fans wote dunia nzima tumeyaona dhahiri yale mapungufu ya timu ambayo siku zote tumekua tukiyapigia kelele lkn kumekua hakuna hatua zozote zinazochukuliwa sasa final tumevuna tulichopanda