FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kipigo Cha Mbwa koko leo tunachezea....nilisema hapo Nyuma watu wakabisha hakuna timu hapa MESSI AUZWE AUZWE ANAWAPA WAKATI MGUMU WALIMU.
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa jamaa hawataiona pepo aisee, hawana hata chembe ya huruma.
 
Buyer yanashambulia kama nyuki, yanakuja tu, barcelona katulia zake, yenyewe yanakuja to[emoji23][emoji23][emoji23]

Cha mhimu hapa ni kupaki basi, mpaka kieleweke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…