No wonder KPB anakuja tena mjengoni... maana ndie forward wa Setien aliemtumia kwenye timu yake ya zamaniView attachment 1324374
Sent using Jamii Forums mobile app
nmependa anavyotaka kumrudisha coutinhoSome players within the squad had to cancel advertising commitments because of Setién's continued training sessions without days off. [cadena ser]
Hakuna mchezaji atakaekua juu tenaa.. pique mzee wa modelling pole sana...
Michezaji mikubwa ilikua inampenda EV kwakua alikua anawaachia sana kila siku off..
Sasa ni kazi tu double session lazima chemistry irudi ...uvivu utawatoka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pique na Vidal walipatwa na Fatique .na wakaanguka kwenye training session ya Jana, kumbuka zinapigwa double ...lazima huyu mzee atafanya mchujo mapema....touch and possession lazima irudi kwa jasho na damuSome players within the squad had to cancel advertising commitments because of Setién's continued training sessions without days off. [cadena ser]
Hakuna mchezaji atakaekua juu tenaa.. pique mzee wa modelling pole sana...
Michezaji mikubwa ilikua inampenda EV kwakua alikua anawaachia sana kila siku off..
Sasa ni kazi tu double session lazima chemistry irudi ...uvivu utawatoka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pique na Vidal walipatwa na Fatique .na wakaanguka kwenye training session ya Jana, kumbuka zinapigwa double ...lazima huyu mzee atafanya mchujo mapema....touch and possession lazima irudi kwa jasho na damu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia huko training ni moto moto.Na ndicho anachotaka kufanya... hakuna tena mambo y 'amigos de club'.. sikuipata hiyo taarifa
Ni muda sana umepita kusubiri mechi ya barca kwa mzuka hivi..
View attachment 1326231
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Walikua wazembe kama personality ya jamaa...Nasikia huko training ni moto moto.
Wachezaji wanapigishwa tizi kama lote.
Walizoea uvivu uvivu. Valverde alikuwa anatoa off day kama pipi. Na tizi lenyewe hafifu.
Ndio maana kwenye mechi almost zote tangu valverde aje, barca players wameonekana kucover distance ndogo kuliko timu zote.
Maana hawafanyi pressing, wala hawafanyi movement ili kutengeneza space ya kupokea pasi
Sent using Jamii Forums mobile app
hata sijui nianzie wapi...
Pique ni nan mbele ya meo???Inasemekana alibidi atoke ile mechi na liva lkn 'club de amigos' akina pique walikua wanamsapoti jamaa lkn bodi ilikua imekubaliana tayari wamchukue kocha martin ...si unajua alikua anawapa uhuru hadi anajisifu kwenye media kwamba anafanya biashara zake uku anacheza mpira.. basi rais akashindwa ku excute hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pique ni nan mbele ya meo???
Boy you talking shit to diarrhea
Hiyo inamjumuisha na messi, suarez.Inasemekana alibidi atoke ile mechi na liva lkn 'club de amigos' akina pique walikua wanamsapoti jamaa lkn bodi ilikua imekubaliana tayari wamchukue kocha martin ...si unajua alikua anawapa uhuru hadi anajisifu kwenye media kwamba anafanya biashara zake uku anacheza mpira.. basi rais akashindwa ku excute hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inamjumuisha na messi, suarez.
Messi namkubali best player ever lakini kwenye hili la kumtetea valverde alituangusha kwa kiwango cha lami
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Valverde alikuwa anachukia madogoWote hao walimsapoti...
Angalia farewell msg zao za juzi waliongea kwa hisia sana kumuaga valverde...
Valverde alipendwa kwa personality yake yaani ni mtu wa watu japo kwenye mpira pale barca aliishiwa mbinu tayari.
Unamchukiaje mtu anaekupa mins especially wachezaji wazee kama akina rakitic pique na suarez..
Sent using Jamii Forums mobile app