kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
safi sana dada angu kwa kutuonyesha goals izo4th goal. SuarezView attachment 1299423
Sent using Jamii Forums mobile app
safi sana dada angu kwa kutuonyesha goals izo4th goal. SuarezView attachment 1299423




Messi is about to end a decade in which he scored the most goals (579), gave the most assist (230), won (5) Ballon d'Ors, (6) FIFA Player of the Year's and (6) European Golden Shoes.
Freak.
Sent using Jamii Forums mobile app
kipaji kingne kimepotea Dar



Reporter: Unaichukuliaje kuanza changamoto mpya kwenye ligi ya Italia aliko mchezaji bora wa dunia?
Zlantan: Messi ameamia Italy?
Sent using Jamii Forums mobile app















Reporter: Unaichukuliaje kuanza changamoto mpya kwenye ligi ya Italia aliko mchezaji bora wa dunia?
Zlantan: Messi ameamia Italy?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli ukiangalia kikosi chetu hakuna chemistry ya mpira, jana espaniol walikua wakipata mpira wakifika golini kwetu wana movements za akili na wanajua kijuposition yaan wao wakishika ni mbele hawarudishi nyuma, sisi dakika za majeruhi bado mpira tunarudisha nyuma na hata tukifika mbele hakuna movements za maana. Hatuwezi kufika hata nusu fainali kwa aina ya soka tulilo nalo
Apigwe benchi tu na yeye...
Btw kama suarez hapigwi messi itawezekanaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha anawaogopa naona, lkn hawa jamaa kuna baadhi ya match hawana msaada kabisa.
Hususani hii iliyo pita
Sent using Jamii Forums mobile app