FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,065
Pep Guardiola kurudi Barca bado ni mtihani ingawa nafasi yake imehifadhiwa.Nasikia anavumiliwa hadi mwisho wa msimu halafu kuna uwezekano wa kumrudisha pep
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wamemuona ukiwa na yule Neymar na la pulga mmmh usipimeYule Lautaro Martinez ni striker hatari sana, bahati tu haikuwa upande wao.
Ananikumbusha kipindi Suarez anatua Barca.
Barca wamwage mpunga fasta.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwaiyo dejong akae nje hao vilaza wacheze?Duuh,magazeti ya Spain yanasema hivi,Sergio Roberto na Raktic unaweza vipi kuwaweka bench kwa sasa hivi.Sergio akipanda Raktic anaziba nafasi-What next for Semedo??
Kumbe maongezi yanaendelea ili dogo huyu Wa Argentina tumchukue,awali ilipangwa Vidal na Ractic wahusishwe kwenye deal lakini sasa wawili hao watasalia camp nou.
Dogo huyu atatufaa Lautaro Martinez 22Yrs oldView attachment 1292187View attachment 1292188
Sent using Jamii Forums mobile app
mpira wa Barca umebadilika toka hawa wawili waanze kupangwa pamoja
Shakira kacheza Sana,King Messi leo was 50/50Beki wamechomesha hapa jamaa wamesawazisha 2-2..
Yaani na utu uzima wrote huu Shakira anashindwa kufanya markings?
Beki yetu bhana sometimes ..MTU anakuja mbio kutushambulia badala ya kum
kaba wanakimbilia kwa Ter stegen!
Tukitoka salama hapa ni kushukuru mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Messi lazima awe hivyo kwa faida ya next gameShakira kacheza Sana,King Messi leo was 50/50
Kama offside hivi...Ila king kaamua ampe tu angeweza funga mwenyewe2nd goal suarezView attachment 1292630