FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kula kila sababu Artulo Vidal awe anaanza match
Velverde afanye iwezekanavyo is good kwenye kunyang'anya mipira na one to one pressing
Halafu jamaa kifua chake kama ana air conditioner kudadadeki ,anakimbia muda wote kama mbwa mwitu
 
```TEAM Gp Gd P
Dortmund 2 +2 4
Barcelona 2 +1 4
Inter 2 -1 1
Slavia Pra… 2 -2 1
```
 
Barca akishakuwa a goal behind mateso kwa fans yanakuwa makubwa-game tuna dominate lakini no goals
Hivi haiwezekani Griezman akacheza nyuma ya Suarez alaafu Messi akazunguka zunguka-I have this feeling Griezman is not being positioned properly
 
Mkuu msimu ujao au januari tutafute mbadala ya busquets, mpira umeshaisha pale.
 
Prediction yangu imetimia...Hongera Striker jambazi...Hongera mkusanya kijiji 😀 is back mammaee, amewachambua mabeki kama kawaida yake...safi sana 👏👏👏
 
Kula kila sababu Artulo Vidal awe anaanza match
Velverde afanye iwezekanavyo is good kwenye kunyang'anya mipira na one to one pressing
Halafu jamaa kifua chake kama ana air conditioner kudadadeki ,anakimbia muda wote kama mbwa mwitu
Bosquets ana slow sna game na anatkiwa apewe much resting time Vidal awe anaanza mda mwngne Rakitic
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…