FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Defence mbovu si mechi hii ya mwisho tu almost mechi zote,tunaokolewa na viungo na washambuliaji.kama unakumbuka goli la kwanza tuliofungwa na liver ilikua uzembe mkubwa beki alikua nana rudisha mpira kwa kichwa kumrudishia kipa pembeni akiwapo forward wa liver si akainasa ....goli kalibu zote ni za kizembe mno hakunaga marking ya mtu na mtu.tunaposhambuliwa na kwenye kucheza kona au kross
 
Lenglet kachezewa rafu kabla ya goli but No VAR..kuna wachezaji hawana hadhi ya kucheza barca...kama huyu dogo junior filipo anaecheza nafasi ya alba hana lolote,perez anajifanya messi haachi mapema.dah barca inakera sana
 
Sijui valvede anafanya nn barcelona, timu imepoa wachezaj classic kwelkwel lakin huon dalili zozote za kushinda, valvede mpuz tu,
 
Velvde na benchi lake la ufundi wasipoondolewa mapema zile enzi za barca zitakua zimefika mwisho.
Msimu ulioisha barca ndio timu iliyoongoza kwa wingi wa magoli ya kufunga Spain, msimu huo huo barca ilifungwa magoli mengi ya uzembe wa beki. Cha kushangaza ilikua imeangaika kusajir washambuliaji(sehm walikofantya vizur) ikaacha kusajr beki(eneo ambalo haikufanya vizuri)
Sijui valvede anafanya nn barcelona, timu imepoa wachezaj classic kwelkwel lakin huon dalili zozote za kushinda, valvede mpuz tu,
 
Mshakula 2 mpaka muda huu kutoka kwa Granada.
 
Rais na bodi ya timu wanaomg’ang’ania Valverde inabidi watupishe maana ameshshindwa in all spheres ...

Kingine huyu Suarez ndiye mchezaji mwenye away form mbaya zaidi, kila mechi zetu za away mi kama tupo 10
 
Usisahau shati lingine linalovaa jezi namba 17.
Rais na bodi ya timu wanaomg’ang’ania Valverde inabidi watupishe maana ameshshindwa in all spheres ...

Kingine huyu Suarez ndiye mchezaji mwenye away form mbaya zaidi, kila mechi zetu za away mi kama tupo 10
 
Aya sasa Uyu griezman mlio kua.. mna subri acheze na King LEO mna muona sasa .

ata neymar ange kuepo tatzo bado tuna kocha Toy sijui wali mtolea wapi
 
Valvede ni type ya makocha kama.Unai , hata uwamwagie nyota wote duniani hataweza kuwatumia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…