FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

bora atoke Arthur anaezunguka kama mshale wa saa tu
 
Varde kaweka pamba sikioni..adi match iishe afike kwake a replay match ndo aone makosa
 
Huyu Lenglet sasa anazingua, binafsi nimempiga sab 45 zijazo aingie umtiti tu....

Na huyu Fat yuko vzr akicheza match kazaa atakua na uzoefu zaidi na kuacha uoga....
 
Kwangu sioni faida ya sergio pale kati, Arthur na De Jong madogo wanajua kuucheza, wanakaba na wanapanda na hawapendi kurejesha mpira nyuma kama Sergio, hawachezi kifather(stat/mazoea) bali wanacheza kiushindani.

Ni kweli kabisa Ansu aanze kama right wing ktk hii Game, mtanipinga ila nawaambieni Perez angeperform vyema kuliko hata huyu Ansu kwa position hii.
 
Ila kiukwelimsimu huu barca watakua na hali ngumu zaidi maana timu haina sub hiyo waliokaa nje ukimtoa messi na dembele hakuna wa kufanya maajabu
 
Nice commented mkuu, Huyu Fat bado kijana mdg sana alafu hana exposure kubwa na hizi match kubwa, hivyo apewe nafasi tu atakuwa bora sanaa
kwani uliambiwa kamzidi dembele mkuu?
Dogo ndio miaka 16 mechi 3, hebu kuweni na subiri dogo gani mwingine umewahi kuona kwa umri huo ana uwezo wa Ansu? kuwa na appreciation hata kidogo bana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…