FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Na tusisahau pia ana dk 64 tu play time
 
Kweli ukongwe ni dawa Suarez is back very determined ,hata kwa mbali anaonekana kupungua uzito kwa shughuli maalum,

This season Barca ndio watakua mabingwa wa UEFA bila shaka, Jana ndo tumeianza season we come back very strong tusahau yaliyopita kuna alot of improvements especially katikati ,naiona version mpya ya Arthur Mello ,roles zake zimewekwa awe anacheza offensive at ikishindikana awe anapiga last key passes
 
Hii Uefa yenu kabisa100%. Ila kumbuka toka 2015 kila msimu uefa ni yenu toka mwanzo.
 
Neymar asije tu barc...tuna madogo wazuri la masia...
Mkuu kupata mchezaji ataefunga zaidi ya goli 20 za ligi kama Neymar ni kamari , hatujawa na uhakika huo kama hao madogo watadeliver kufikia hata kiwango alichofikia Sanchez wakati Sanchez akiwa Barca achilia mbali kiwango cha Neymar
 
Gazette la "Le Mundo" linaandika Barca aki control naku dominate mpira katikati match zinakuwa nyepesi.Barca ikiwa over run kati match inakuwa ngumu.Linaendelea kuandika Messi ni jina la kwanza ktk team sheet,akifuatiwa na T Stergen ALAAFU its Griezman ambaye still needs to justify hiyo tag cause amekuja Barca kuwa game changer na sio to make up the numbers
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…