FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kaka umenena vyema, mimi kuna watu nashangaa kuanza Barca. Yaani pale anzisha Semedo, Alba, tia umtiti walau na huyu Lenglet ili apate uzoefu zaidi.

Toa Bisquets, weka De Jong, weka Arthur na Rakitic kati, mbele pale ndo shuhuli sasa, Suarez huwa hatabirikagi huyu mnyama ila ni fighter haswa, anaweza kuforce matokeo labda tu itokee asipate chances za kutosha.
 
Shakira ndio bure kabisa...ni kutufungisha tu daily
 
Kaka ni kwamba kile kikosi kilivyo vile vile bila kuongeza au kutoa mchezaji hata mmoja ukimpa kocha kama pep au Mourinho tu lazma achukue uefa tukumbuke mwaka anakuja marsherano anatoka anfield alikuwa namba sita anatua nou camp anakutana na watu Kama busquet,xavi na inester ila pep alimbadilisha na akacheza beki nne akafiti yeye ameshindwa amuache Kila mchezaji acheze kwenye nafasi yake coutinho mpira alikuwa akiucheza anfield hatuoni kocha gani mchezaji akipata majeraha tu yeye anampiga Sub
 
50/50 suarez kuwemo against valencia..Messi bado...na pengine hata game ya uefa Barca dhidi ya dortimond hatakuwepo..uhakika.tumtegemee kwenye game dhidi ya Granada 21/9/2019 kwa mujibu wa Barca News
 
Yaleyale ya Coutinho na dembele kuchezeshw wrong position

valverde mzinguaji sana
 
Tetesi zinasema barcelona wapo katika wazo jipya la kutaka kufanya uamuzi wa kusajiri Neymar ama Kylian Mbappe kwa hapo baadae,hii ni baada ya kuchambua na kutafakari fitness ya Neymar...haishi injuries...now and then...pia wameangalia na umri wa mbappe nao unashawishi wao kumtamani pale nou camp
Sababu ingine wanataka awepo mtu wa kumtegemea hatamessi akiwa out
 
Mimi ndo uwa nawaambia watu kikosi kile kiache vile vile ukimpa kocha mwny akil timamu kama Pep or Klopp Nasemaje uefa inarudi.. Valverde ndg zng hana tactics yan ni kama uwa anaweka tu wachezaj uwanjan kua katafuteni matokeo
 
Sasa Mkuu mbape si anacheza kulia? Inawezekana vipi achukue namba ya Messi, namna pekee ya kumtafuta mrithi wa Messi, ni Messi kuondoka kwanza Barca.
 
Mimi ndo uwa nawaambia watu kikosi kile kiache vile vile ukimpa kocha mwny akil timamu kama Pep or Klopp Nasemaje uefa inarudi.. Valverde ndg zng hana tactics yan ni kama uwa anaweka tu wachezaj uwanjan kua katafuteni matokeo
Achana na Pep na Klopp, hata Luis Enrique angeweza kutufikisha mbali, sijui walitazama nini kumpa timu Valverde. Hakuna kitu kabisa huyu jamaa.
 
Mimi sielewi had saiv kwnn Rais wa Club anamkumbatia huyu mjinga bora tungefng hata mpango tupate kocha wa Ajax huyu mzee hii team ni kubwa sna kwake ndo maana hata kupanga inamshinda
Kabisaaa, tupate kocha kijana anayeendana na hali ya ushindani wa soka la sasa.
 
Mimi ndo uwa nawaambia watu kikosi kile kiache vile vile ukimpa kocha mwny akil timamu kama Pep or Klopp Nasemaje uefa inarudi.. Valverde ndg zng hana tactics yan ni kama uwa anaweka tu wachezaj uwanjan kua katafuteni matokeo
Unajua mm cjawah kumuelewa hasa mechi za uefa anaweza akaona tatzo au Hadi sisi ambao tunaangalia kwenye luninga tunaona kabsa kwamba hili ni tatzo kabsa lkn yeye anajifanya halion anakuja kuliona baada ya kufungwa ndo Sasa anamtoa mtu be Na kumuingiza wewe angalia mechi Na Roma second leg pia angalia mechi Na Liverpool second leg pia mm Barcelona Ana miaka sita hajafungwa pale nou camp uefa hawezi kusema Ni kwa sababu zake ni wachezaji Na hamasa kutoka kwa mashabiki kocha gani hawezi kushinda ugenini na timu kubwa kuanzia juve,Roma, Na Liverpool yaan zamani hatuna timu iliyokuwa inaomba kukutana na Barcelona lkn Sasa watasema Barcelona shinda goal100 sisi tunakuja kushinda Na sisi 101 kwetu
 
Ansu Fati -from Lamasia cantera,16 years of age
He is from Guinea-Bissau
Anapenda ku attack from flanks (right and left ) ,ana dribbles skills kama za Dembele ,ana speed sana (mbio) ,ana uwezo wa kucheza aerial duels
Anajua ku shoot mipira
Kwa sababu anatoka Lamasia cantera anahitaji spaces ndogo sana kucheza mipira

Wakati wanazi wa Barcelona (conservative) wanalaumu team kununua flops kwa hela ndefu kutoka vilabu vingine, Je hii ni ticket ya Dembele kuuzwa kwa sababu amefeli professional ethics zinazopelekea injuries za mara kwa mara na hivyo basi kuisababishia team hasara na kutokua na msaada?

Kwangu mimi Ansu Fatti amebeba ticket ya Dembele kuuzwa msimu ujao sio tu kwa sababu ya umri bali Ansu anaweza kufanya roles as Dembele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…