FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kaka umeongea full UKWELI sikupangilia vzuri maneno ila bro mm nipo na mawazo yako.
Valverde katuharibia team kabbbisaaa basi wamtafute hata Xavi huko aliko aje kuzipa pengo huku maana naskia yeye kocha sasa hv,wamuondoe huyu kiazi Valverde anatuharibia team.
Luis Enrique alikua kocha bhana hakuna asiyefaham.
 
Naam , XAVI ni mbadala wa hakika maana atarudisha mpira wa possession tena na La Masia itakuwa great again na muhimu kwa timu ya Barca.
Hadi sasa ameiongoza timu yake ya Al Sadd mechi tatu kati ya hizo kashinda mbili , kadroo moja na hadi sasa kashachukua kombe moja la ufunguzi wa ligi , hata yeye amekuwa akitamani kupewa kibarua hicho tangu kitambo atimize ndoto zake za kuifufua barca iliyokuwa tishio duniani.

Kama haji huyo basi aje Guardiola , Enrique au na hata Klopp maana hao wanazijua mbinu vema na wanaweza kufundisha mpira wa kikatalunya
 
Mmh klopp sishauri.
MPIRA wake wa mkimbize mkimbize.
Guardiola si rahis kurudi barca wala Luis Enrique hapo atafutwe Xavi tu master pass basi.
 
Mmh klopp sishauri.
MPIRA wake wa mkimbize mkimbize.
Guardiola si rahis kurudi barca wala Luis Enrique hapo atafutwe Xavi tu master pass basi.
Klopp anacheza mpira wa aina yoyote unayoitaka, refer game ya kwanza pale Camp Nou jinsi mlivyoutafuta kwa torch mpira.
Na mlivyoenda Anfield akawachezea mpira tofauti na wa mwanzo. Mlimiliki yeye akashinda.
Klopp ni master.
 
Klopp anacheza mpira wa aina yoyote unayoitaka, refer game ya kwanza pale Camp Nou jinsi mlivyoutafuta kwa torch mpira.
Na mlivyoenda Anfield akawachezea mpira tofauti na wa mwanzo. Mlimiliki yeye akashinda.
Klopp ni master.
Bro huyu coach alishindwa ku adress tecnic nzuri.
Wala wasingetufunga Liverpool na mpira wao wenyewe haukuwa ht unaeleweka ht camp nou ni dakika chache km tano tu ndio walimiliki mpira.
Ila sio full game.
Twamtaka mtu full of tactics km Guardiola ama Enrique
 
Hata Neymar akirudi lakini tujue tatizo sio wachezaji ila ni Kocha coz anapewa Kila Kitu lakini still bado hakuna anachofanya
Nafikiri huu utakuwa msimu wake wa mwisho kama hataipa timu kitu tofauti..
Ngoja tuone
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…