xavi Simon was overrated hata lamasia alikuwa anaingia as the substitution fuatilia utaona KIWANGO chake hata akikua hakitamzidi yule kiungo rasta wa Bayern Renato Sanchez.So sad aisee
Team yangu siielewi kabsa
R.I.P La masia
dejong nikimuona naona our middfrider is in safe hands.Busquets has a new problem called De Jong
Duh overrated tena?xavi Simon was overrated hata lamasia alikuwa anaingia as the substitution fuatilia utaona KIWANGO chake hata akikua hakitamzidi yule kiungo rasta wa Bayern Renato Sanchez.
ndiyo.Duh overrated tena?
So sad aisee
Team yangu siielewi kabsa
R.I.P La masia
Dogo kafika Barca akiwa n miaka 6 lakini wengi kama tunavyo mjuwa Mino Raioa (agent wa pogba na De Ligt) yeye anapenda pesa kubwa na ahana mahusiano mazuri na Barcelona. Ndio maana baadhi ya member wa board ya barca wanataka kutojihusisha na mchezaji yeyote ambaye yupo chini ya wakala huyu.Naona Psg wametoa deadline hadi 31 July kuhusu usajiri wa Naymar kurudi Barca.
kuna Dogo mkali Sana 'Wonder kid 'huyu wa under 20 Aitwae Xavi Simons ametangaza kuihama Barca,dogo ni mzuri mno nahisi Kwa baadae atarudi tu nyumbani agent wake yasemekana anampeleka PSG
Amekulia Barcelona tangu akiwa na umri wa Under 8,sasa hivi ana 16yrs. View attachment 1160446
La masia haifi hata siku moja sasa Wague wa Senegal kapandishwa Team A, Bosquet kapanda timu ya wakubwa, Ruiq Puig, na Alena wote hao wametoka La Masia.So sad aisee
Team yangu siielewi kabsa
R.I.P La masia
Ili Suarez na Grienzmann wawepo katika wakati mmoja inabidi timu iende kwenye 4-2-3-1View attachment 1149339
Bora neymar aje ili Messiah apumzike.A candidate for the next Barca president elections says Neymar will join Barca and Coutinho will leave the club https://t.co/GJb5bu3hcs
Mkuu had sasa ukiacha Greizman nan mwingine tumechukua.? Tunataka UEFA msimu huu ..hii La ligue tuwaachia ATL sasaKunaa mtu kajipigia 7UP Huko
Mkuu had sasa ukiacha Greizman nan mwingine tumechukua.? Tunataka UEFA msimu huu ..hii La ligue tuwaachia ATL sasa
huyu kiungo anaujua inatakiwa tu kina Messi watulize vichwa wangojee kufunga.
Tusiwachukulie poa Atletico maana wapo vizuri msimu sasa kama Costa akakiwasha Morata nae akakiwasha na Dogo Joao Felix nae akakiwasha itakuwa horse-race ya nguvuJunior firpo, competition ya alba
Ligi Atl bado.. Naona ikibaki kwetu
Tusiwachukulie poa Atletico maana wapo vizuri msimu sasa kama Costa akakiwasha Morata nae akakiwasha na Dogo Joao Felix nae akakiwasha itakuwa horse-race ya nguvu