Certified Hater JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 1,940 Reaction score 4,160 May 7, 2019 #28,421 pem said: Nasema hiviiii....bao nne safiii za gwajimaaa.... Click to expand... fresh
Murashani GALACTICO JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,516 Reaction score 5,418 May 7, 2019 #28,422 Certified Hater said: Hamna team hapo kumamake.. mi ile game ya Camp nou niona kabisa tukienda kule kwao haya masenge yanavyo shangilia dk 90 kwa uchezaji huu tunatiwa, Click to expand... Umewawakilisha vizuri wenzako. Rungu la liva sio kama la gwajima. Munainama tuu linapitaaa
Certified Hater said: Hamna team hapo kumamake.. mi ile game ya Camp nou niona kabisa tukienda kule kwao haya masenge yanavyo shangilia dk 90 kwa uchezaji huu tunatiwa, Click to expand... Umewawakilisha vizuri wenzako. Rungu la liva sio kama la gwajima. Munainama tuu linapitaaa
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 May 7, 2019 #28,423 Daaah Wazee let's stay strong najua imeuma sana ,ngoja nilale
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 May 7, 2019 #28,424 mwekundu said: Daaah Wazee let's stay strong najua imeuma sana ,ngoja nilale Click to expand... Kuanzisha Leo mm na Barcelona bye bye naitema kama nilivyoitema simba
mwekundu said: Daaah Wazee let's stay strong najua imeuma sana ,ngoja nilale Click to expand... Kuanzisha Leo mm na Barcelona bye bye naitema kama nilivyoitema simba
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,569 Reaction score 10,527 May 7, 2019 #28,425 Kuna katimu kanajiona katimu ka Dunia, haka katimu huwa kananiudhi sana Kamenyooshwa, na kamenyooka
hazard Don JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 1,229 Reaction score 1,035 May 7, 2019 #28,426 Dah mikeka imechanika mingi
Kivule JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 639 Reaction score 662 May 7, 2019 #28,427 Hii ndo tabu timu nzima kumtegemea mtu mmoja. Kulaleki barca kiukweli hatuna timu
hazard Don JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 1,229 Reaction score 1,035 May 7, 2019 #28,428 Ndo mechi imeisha ? Au goswe said: Siamini kinachoendelea Click to expand...
Murashani GALACTICO JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,516 Reaction score 5,418 May 8, 2019 #28,429 hazard Don said: Ndo mechi imeisha ? Au Click to expand... Bado haijaisha mkuu. Mm naangalia hapa messi ndo anaingia uwanjani dakika ya 54
hazard Don said: Ndo mechi imeisha ? Au Click to expand... Bado haijaisha mkuu. Mm naangalia hapa messi ndo anaingia uwanjani dakika ya 54
Airmanula JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 3,524 Reaction score 5,782 May 8, 2019 #28,430 Murashani GALACTICO said: Umewawakilisha vizuri wenzako. Rungu la liva sio kama la gwajima. Munainama tuu linapitaaa Click to expand... Bao nne za gwajimaa safiiii
Murashani GALACTICO said: Umewawakilisha vizuri wenzako. Rungu la liva sio kama la gwajima. Munainama tuu linapitaaa Click to expand... Bao nne za gwajimaa safiiii
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,400 May 8, 2019 #28,431 Leo sikuwa na upande. Nimefurahi kwa timu iliyoshinda. Naamini ndo itakuwa bingwa
Mama Debora JF-Expert Member Joined Aug 30, 2018 Posts 1,481 Reaction score 2,608 May 8, 2019 #28,432 mwekundu said: Very unfortunate Busquets naye hayuko kwenye form daah Click to expand... mwekundu leo umepauka na kuwa kijivu kama nyanyapuza! Na sura lako hilo kama Sokwe!!! Mbwa wakubwa nyie!!! Ngoja nikampe Baba Debo kiuno akichezee atakavyo, kesho kuamka saa tatu.
mwekundu said: Very unfortunate Busquets naye hayuko kwenye form daah Click to expand... mwekundu leo umepauka na kuwa kijivu kama nyanyapuza! Na sura lako hilo kama Sokwe!!! Mbwa wakubwa nyie!!! Ngoja nikampe Baba Debo kiuno akichezee atakavyo, kesho kuamka saa tatu.
M makodinda JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 1,540 Reaction score 1,300 May 8, 2019 #28,433 Usenge wa Roma mwalimu katuletea na leo hakuna mwalimu pale
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 May 8, 2019 #28,434 Hii team kuanzia leo sitaki ata kuishikia kwakweli
Airmanula JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 3,524 Reaction score 5,782 May 8, 2019 #28,435 Mama Debora said: mwekundu leo umepauka na kuwa kijivu kama nyanyapuza! Na sura lako hilo kama Sokwe!!! Mbwa wakubwa nyie!!! Ngoja nikampe Baba Debo kiuno akichezee atakavyo, kesho kuamka saa tatu. Click to expand... Wera weraaaa ..mwambie alisakate kiuno ka gwajima
Mama Debora said: mwekundu leo umepauka na kuwa kijivu kama nyanyapuza! Na sura lako hilo kama Sokwe!!! Mbwa wakubwa nyie!!! Ngoja nikampe Baba Debo kiuno akichezee atakavyo, kesho kuamka saa tatu. Click to expand... Wera weraaaa ..mwambie alisakate kiuno ka gwajima
hazard Don JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 1,229 Reaction score 1,035 May 8, 2019 #28,436 Nashauri watembee kwa miguu mpaka bernabeu
Ntalukwilasa JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 989 Reaction score 1,281 May 8, 2019 #28,437 Pumbavu kumbe ulikuwa utakuja kupiga kelele kwenye maJukwaa ya wenzio kumbe kwako panaungua kurlzawa said: Kuanzisha Leo mm na Barcelona bye bye naitema kama nilivyoitema simba Click to expand...
Pumbavu kumbe ulikuwa utakuja kupiga kelele kwenye maJukwaa ya wenzio kumbe kwako panaungua kurlzawa said: Kuanzisha Leo mm na Barcelona bye bye naitema kama nilivyoitema simba Click to expand...
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 8, 2019 #28,438 Mama Debora said: mwekundu leo umepauka na kuwa kijivu kama nyanyapuza! Na sura lako hilo kama Sokwe!!! Mbwa wakubwa nyie!!! Ngoja nikampe Baba Debo kiuno akichezee atakavyo, kesho kuamka saa tatu. Click to expand...
Mama Debora said: mwekundu leo umepauka na kuwa kijivu kama nyanyapuza! Na sura lako hilo kama Sokwe!!! Mbwa wakubwa nyie!!! Ngoja nikampe Baba Debo kiuno akichezee atakavyo, kesho kuamka saa tatu. Click to expand...
Airmanula JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 3,524 Reaction score 5,782 May 8, 2019 #28,439 kurlzawa said: Hii team kuanzia leo sitaki ata kuishikia kwakweli Click to expand... Mabao ya gwajima safiiii
kurlzawa said: Hii team kuanzia leo sitaki ata kuishikia kwakweli Click to expand... Mabao ya gwajima safiiii
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,885 May 8, 2019 #28,440 Messi Messi Cr7 still alive... Andunje kapuni hakuwa na jipya. Fan wake mtuliee kama hampo.