Right flank haifanyi kazi, na naona kama Roberto anasumbuliwa sana na Mane kwenye spidi. Nadhani ni muda wa kumleta Semedo.
Coutinho is doing a good job, na Vidal naona anakata umeme kwa fujo.
Hawa jamaa wanavyomkaba messi watano watano, wanawaacha Coutinho na Suarez wanakimbia free, hakika watajutia.
Tukitulia, kuna mawili mengine tunaenda zetu kulala!