FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

#Forca_Barca
We are here ,we are ....
Camp Nou machinjioni ,tuna sacrifice kila kiumbe kinachofika hapa ...najua Salah ,Sadio Mane ,Vin Dyk yanagonga chupi
Hapa hamna mkuyati ila.watoto wanaloana tu kwa kuchezea koki



Get ready, stay focused

We colour the football,To the Glory .....Europe
 
Barcelona ina wafuasi kweli umu? Au ni wafuasi wa Arsenal na Chelsea wamechanganyikana?

Maana wafuasi wa man u ni Real Madrid
 
Naipenda Barcelona ila Liverpool zaidi. Ki ukweli hizi ndio timu zangu nazozi support huko juu.

Ila akishinda liverpool itakuwa poa zaidi kwangu. Barca wakishinda ni sawa tu.
 
Zile dakika kumi na tano za kwanza zikiisha salama basi, naanza sherehe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…