FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Here the teams with more Premier League titles since 1992
Manchester United – 13 Titles
Chelsea – 4 titles
Arsenal – 3 titles
Manchester City – 2 titles

 
Pep kaenda kuwaonyesha mpira. Atadominate epl na hiki kizazi chake hadi basi. Cheis man aseno hakuna kitu tena wapo kwenye build up, kwa miaka mi5 ijayo city, liva na tot kidoooogo ndio wataitawala epl
mbna mara city mwaka jana katangaza ubingwa mapema kabisa



n hata la liga kuna kipind had mechi ya mwisho kupata bingwa
 
Sasa hiyo ndiyo league yenye ushindani mkuu na ndiyo maana team zake zinaleta ushindani wa hali ya juu ulaya

Mkuu hata timu za Italy, Germany, Netherlands na England zinatoa ushindani wa Hali ya juu. Mfano: semis za mwaka jana na mwaka huu timu zilizobaki
 
Mkuu hapo ulipoquote kuna neno "nadra" maana yake inaeleweka vizuri tu

La liga ligi ya timu mbili tu, ya tatu atlec huwa wasindikizaji
mbna mara city mwaka jana katangaza ubingwa mapema kabisa



n hata la liga kuna kipind had mechi ya mwisho kupata bingwa
 
Waingereza kwa kuzipa promo timu zao na ligi yao wapo juu.

Ila kiuwezo bado na zitasubiri sana kwa timu za spain iwe UCL au Eruopal.
 
Next season Man City ni bingwa-Liverpool ka fluke to go all the way

England hakuna domination miaka hii. Hiyo hali ilikoma baada ya Sir Alex Ferguson kustaafu.
Domination kwenye league inaondoa excitement kama ilivyo La Liga, Bundesliga, League 1, Serie A na Scottish Premier League
Hizo league zote hapo bingwa wa next season keshajulikana i.e. Barca, Bayern Munchen, PSG, Juventus na Celtics FC
Ndio maana some fans around the globe they refer them as “FARMERS LEAGUE”
 
Here the teams with more Premier League titles since 1992
Manchester United – 13 Titles
Chelsea – 4 titles
Arsenal – 3 titles
Manchester City – 2 titles
m acha bangi toka 92 unafikir team ngap za spain zimechukua



n unaona man 13 anaekuja ana 3 sijui 4 af. unasema ligi bora
 
Pep kaenda kuwaonyesha mpira. Atadominate epl na hiki kizazi chake hadi basi. Cheis man aseno hakuna kitu tena wapo kwenye build up, kwa miaka mi5 ijayo city, liva na tot kidoooogo ndio wataitawala epl

Mkuu you never know with EPL. Pep alitulizwa na akaumbuliwa during his first season.
Tottenham wamemtuliza tena quarterfinal ya UCL tena bila kusajili hata mchezaji mmoja msimu huu!
Next season kila timu inajipanga na kutakuwa na VAR so huwezijua nini kitatokea na hapo adrenalin rush ndio inapanda na ndio utamu wa EPL
 
UEFA CHAMPIONS LEAGUE



SPAIN ANA 18


ITALY ANA 12



ENGLAND ANA 11



BADO EPL WANAJIONA BORA




SIPATII PICHA STATISTICS ZINGEKUA UPANDE WAO
 
Weka basi na fact za spain kunogesha ka mjadala

List of UEFA club competition winners by country[a]
NationalityUCLUELCWCUICUSCICTotal
Spain
18​
11​
7​
5​
15​
4​
60
Italy
12​
9​
7​
4​
9​
7​
48
England
12​
8​
8​
4​
7​
1​
40
Germany*
7​
6​
5​
8​
1​
3​
30
Netherlands
6​
4​
1​
0​
2​
3​
16
France
1​
0​
1​
12​
0​
0​
14
Portugal
4​
2​
1​
1​
1​
2​
11
Belgium
0​
1​
3​
0​
3​
0​
7
Scotland
1​
0​
2​
0​
1​
0​
4
Ukraine
0​
1​
2​
0​
1​
0​
4
Russia
0​
2​
0​
0​
1​
0​
3
Romania
1​
0​
0​
0​
1​
0​
2
Serbia
1​
0​
0​
0​
0​
1​
2
Sweden
0​
2​
0​
0​
0​
0​
2
Turkey
0​
1​
0​
0​
1​
0​
2
Georgia
0​
0​
1​
0​
0​
0​
1
Slovakia
0​
0​
1​
0​
0​
0​
1
Denmark
0​
0​
0​
1​
0​
0​
1
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…