FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Na hapo messi anawafanyaje hao akina Rio wako!
 
Soma nimesema OT mmoja ya watanzania wasiopenda kusoma ni wewe
Hiyo OT umetumia kama kichaka tu nami nimekukurupusha hivyohivyo. Hao watu wako wamepigwa na wachezaji shazi tu hapo ot tena wachezaji wa kawaida sana itakuwa messi!! Kama kapanda ndege toka spain kaja kufunga kwenye ardhi ya uingereza ambapo ni nyumbani kwa man utd nini kinashindikana! Kichaka chako ni ot?! Haya basi na kina smalling hawajafungwa na messi ot!
 
Liver wanajipa moyo sana wakiamini salah na mane ndio waokozi wao wanashindwa kujua kwamba hao watakabika kirahisi sana maana barca wanakata mawasiliano kati wanyuma nyuma na wambele

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk

English clubs like long balls
 
Beki ya pique anaweza akaendana na pace ya MANE au BOBBY?achana n SALAH atakayemfanya Alba agande nyuma kama ruba
 
Acha ushamba wa kusoma "did you expected Messi to score at OT while RIO &VID " Walimu wa Tanzania wanakazi ngumu
Hebu acha ushabiki mandazi mkuu. Unataka kutuambia Rio na Vidic walikubali kufungwa na Messi kwakua walikua Wembley, ila wangekua OT wasingekubali?

Hivi kuna uwanja wenye hadhi na heshima uingereza kushinda Wembley?

Hebu lete hoja zenye mashiko bana!
 
mbavu zangu
 
ukiweza kuniambia maana ya ushabiki mandazi nitajua unajua na kuamini unachosema vinginevyo utaongeza idadi ya watu wanaosema kisha wanafikiri baada ya miaka mitatu
 
Huyo jamaa niacha kumjibu inaonekana1ameletwa kushabikia mpira na hiz betting
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…