FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ukitaka kumfunga Barcelona, tumia vizuri dakika kumi za mwanzo. Huwa tunakua na wenge flani hivi.

Ila baada ya dakika 15, basi pambana wewe usifungwe nyingi.

It was exhibitional football. The performance was fantastic, Messi was cocastic, and coutinho was mirindastic!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Huyu Frankie De jong kabla hajachezea Barca hata mechi moja, tayari kafanya kazi nzuri sana mjini Madrid na Turin.

Lile goli la Coutinho linaweza kabisa kutatua mgogoro wa Spika na CAG!

- KANA -
 
Ni kweli dk za mwanzo nilikua na presha zile attack mbili
 
Hahaha mimi coutinho nashauri aanze tu mechi zote na asiuzwe maana Jana ameonyesha maajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nikiangalia usajili tunao fanya na vijana wetu waliopo... Naona tukienda kuwa dominant force miaka kadhaa ijayo sio siri...

Jana umepigwa mwingi sana

#WeColorFootball
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…