Duh kuna watu mnaujasiri kupita kiasiNdo muache kuvuta sasa, mmekaa kusfia sfia maea freekick mara penalt utafikir mazombie,hana jipya atabaki wa 2 kwa sasa,ila muda wake kutamba,cr7 kamuachia ligi kabaki alone hata yeye mwnywe kasema kammiss
Sent using Brain
Huyu kiumbe ameshindikana kamanda wangu...mchezaji bora kuwahi kutokea katika soka! Anatupatia raha ambayo hatukuwahi kuipata kwa mchezaji yeyote waliopita na wa sasa. Mungu aendelee kumpa afya njema na umri mrefu wa kuishi!
BEST IS CR7,ALL TIME GOAT IS PELE
Sent using Brain
Ndo muache kuvuta sasa, mmekaa kusfia sfia maea freekick mara penalt utafikir mazombie,hana jipya atabaki wa 2 kwa sasa,ila muda wake kutamba,cr7 kamuachia ligi kabaki alone hata yeye mwnywe kasema kammiss
Sent using Brain
Kwamba akmvuka pele anakua ndo the GOAT ..Bado goli 51 kumvuka pele.. So approximately 1 season.. Maana messi ni kawaida yake kudeliver 40+ goals...
He will rewrite the history
Sent by anonymous user
Barcelona Barcelona
Jana kwa macho yangu nimeshuhudia
"PANENKA FREE KICK "
Kwa mara ya kwanza duniani imepigwa na Messi
Huyu dogo ata tetesi tu za kuja pale huwa hazinifurahishi, sijui wao wamelenga vitu gani haswa ila ni bora wakamuamini ata Munir
Ah ah ah ahHapa cr7 anaingiaje?
Messi anawatesa kiasi hicho asee! Alisema juzi yeye mara ira anaocheza ni kwaajili ya familia yake, na wale watu ambao wanafurahia,
Kwa msio mpenda muwe na utulivu kidogo..
Basi utulie dawa iingie
Sent by anonymous user
Kwamba akmvuka pele anakua ndo the GOAT ..
Messi dummies bhana,Pele ni zaidi ya magoli.
Hadi sasa hajamzid hta mpinzani wa pele, Muargentina mwenzie maradona.
Some records hazivunjiki
Sent using Brain
Huyu kiumbe ameshindikana kamanda wangu...mchezaji bora kuwahi kutokea katika soka! Anatupatia raha ambayo hatukuwahi kuipata kwa mchezaji yeyote waliopita na wa sasa. Mungu aendelee kumpa afya njema na umri mrefu wa kuishi!
Messi: "I'm going to delay my retirement as long as I can. I love football since I was born."
Sent by anonymous user
Ah ah ah punguani waheed
Aisee!! Safi Sana ,Hii kauli yake ilikua nzuriHapa cr7 anaingiaje?
Messi anawatesa kiasi hicho asee! Alisema juzi yeye mpira anaocheza ni kwaajili ya familia yake, na wale watu ambao wanafurahia,
Kwa msio mpenda muwe na utulivu kidogo..
Basi utulie dawa iingie
Sent by anonymous user
Hahah
Ignorance could be really daring!Kwamba akmvuka pele anakua ndo the GOAT ..
Messi dummies bhana,Pele ni zaidi ya magoli.
Hadi sasa hajamzid hta mpinzani wa pele, Muargentina mwenzie maradona.
Some records hazivunjiki
Sent using Brain
Ndio hiyo siku alitaja best players wake watano ukimuexclude Yeye na Nado?
Shabiki wa ole guna subir kupigwa mbele na nyuma na MessiahNdo muache kuvuta sasa, mmekaa kusfia sfia maea freekick mara penalt utafikir mazombie,hana jipya atabaki wa 2 kwa sasa,ila muda wake kutamba,cr7 kamuachia ligi kabaki alone hata yeye mwnywe kasema kammiss
Sent using Brain
Huyu dogo ata tetesi tu za kuja pale huwa hazinifurahishi, sijui wao wamelenga vitu gani haswa ila ni bora wakamuamini ata Munir