FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi ameweka record ya vizazi vyote ...inapaswa aandikiwe kitabu ili vizazi vijavyo vipate kumsoma.

He's a God of football..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zikifika tatu toa Suarez weka Prince, toa Arthur weka Coutinho, toa vidal weka malcom.

Watu wapumzike, hii Laliga tumeshachukua, we have unfinished business in the champions league. Hatutakiwi kukubali injuries!



- KANA -
Mkuu kwa haraka haraka msimu huu tunaeza pita makombe yote matatu ..yani Copa De Larey, La Liga, na Uefa..

Uwezo uo tunao..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa muda wote nasikiliza kipindi cha michezo nisikie wachambuzi watazungumziaje lile tamasha alilofanya Messi jana usiku lakini nimejikuta napata hasira baada ya mchambuzi kuitia kapuni hiyo habari kwa sababu dhaifu aliyotoa, eti Messi na Ronaldo wamejiweka katika ulimwengu wa kipekee hivyo Messi kufanya makubwa jana ni swala la kawaida hivyo wakaruka hiyo taarifa na kuendelea na taarifa nyingine
 
Haha goza chuma? Habari za king wengi hawazungumzii.. Kumbe na wewe umeliona hili
Sent using Unknown device
 
Haha goza chuma? Habari za king wengi hawazungumzii.. Kumbe na wewe umeliona hili

Sent using Unknown device
Mzee wa Kaliuwa sijui jina lake halisi ni nani........ wanajifanya hawaoni kinachofanyika ata ile game na Lyon yani kama hakikutokea kitu wakajificha kwenye kichaka cha matokeo ya Liver
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…