unafunga hatrick kwenye group stages huo ni ufujaji wa nguvu angefunga mechi ya roma wakaenda semi Final, Messi ajifunze kwa mwenzake kufunga mechi zinazovusha Team na ninawaambia kwenye soka la ulaya barca ni Team ndogo
Aaah hii sio sawa sasa, messi aachage useng* hii ni kuutukana ulimwengu sasa messi
Mimi nimemind aisee ujuaji gan bhn, yan unajua adi unakela wapinzani