Yap ajax Kuna ujumbe flani ivi wanauonyeshaHawa Ajax wakipita basi team zote zitakazopita zimtazame kwa jicho la tatu [emoji23][emoji23]
Hawa watu wana kitu wanakitafta
Sent using Jamii Forums mobile app
Frank de Jong Ana u busquet + urakitic + u debrune kidogo
Frank de Jong Ana u busquet + urakitic + u debrune kidogo
Hopefully ataendana na mfumo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 1-4
Dadaangu Numbisa pole sana, first leg mlibebwa aise
Duh mmekimbia uzi wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natangaza rasmi huu ni mwaka wetu UEFA champions league haya ni maono....A treble year ,sijakurupuka kutoa analysis hii
Asante.Pole pia mkuu hawa Girona hawafai kabisa
Ile ni friendly mechi dadaangu, alafu kumbuka Messi na wenzie hawakucheza😀😀😀
Eti friendly!!![emoji2][emoji2]imecheza barca na rekodi inaandikwa kafungwa Barcelona hakuna kisingizio cha messi na wenzie