GREAT NAME JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 1,078 Reaction score 1,722 Mar 3, 2019 #26,661 Shadeeya said: Nimekuja aiseee. Hongera Mtani. Click to expand... Hongera nawe pia kwa ushindi japo sikufuatilia game,
Shadeeya said: Nimekuja aiseee. Hongera Mtani. Click to expand... Hongera nawe pia kwa ushindi japo sikufuatilia game,
Bullava JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 618 Reaction score 1,002 Mar 3, 2019 #26,662 Ndio tayari hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
SINA JAMBO JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 338 Reaction score 270 Mar 3, 2019 #26,663 hakuna raha ka kumfunga madrid Sent using Jamii Forums mobile app
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,749 Reaction score 28,144 Mar 3, 2019 #26,664 Naskia sergi Roberto kakamatwa na polisi kisa wakati anatoka walimkuta kamuweka vc Jr mfukoni eti!
L Life starts at 45 JF-Expert Member Joined Sep 22, 2015 Posts 1,000 Reaction score 998 Mar 3, 2019 #26,665 pancho boy said: Naskia sergi Roberto kakamatwa na polisi kisa wakati anatoka walimkuta kamuweka vc Jr mfukoni eti! Click to expand... ni kweli na mimi kutoka ktk chombo cha habari cha koromije nimesikia pia Sent using Jamii Forums mobile app
pancho boy said: Naskia sergi Roberto kakamatwa na polisi kisa wakati anatoka walimkuta kamuweka vc Jr mfukoni eti! Click to expand... ni kweli na mimi kutoka ktk chombo cha habari cha koromije nimesikia pia Sent using Jamii Forums mobile app
braza bonge Senior Member Joined Jul 13, 2018 Posts 125 Reaction score 164 Mar 3, 2019 #26,666 Avatar mok said: View attachment 1036567View attachment 1036568 Sent using Unknown device Click to expand... Mr bean kaanza lini kucheza mpira?? jamaa basi ni kiraka wa vipaji Sent using Jamii Forums mobile app
Avatar mok said: View attachment 1036567View attachment 1036568 Sent using Unknown device Click to expand... Mr bean kaanza lini kucheza mpira?? jamaa basi ni kiraka wa vipaji Sent using Jamii Forums mobile app
Kimwerymdodo5 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2019 Posts 2,047 Reaction score 3,322 Mar 3, 2019 #26,667 Kaka Arturo popote ulipo kunywa moja moto moja baridi ntalipaaa😂😂😂😂😂
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,938 Mar 3, 2019 #26,668 Mou alikua na haya ya kusema Sent using Unknown device
Babchabi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,745 Reaction score 777 Mar 3, 2019 #26,669 huyu vidal kumbe hili jamaa tukutu sana nengependa kwenye classico anze mwanzo hadi mwisho
BARDIZBAH JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 5,935 Reaction score 11,778 Mar 3, 2019 #26,670 Davet said: Unajiita shabiki wa mpira alafu hushabikii Barca utakua unatania...... Hongereni kwa ushindi wajuaji wote wa soccer humu ndani naona ubingwa huu hapa Click to expand... Hahaha waambie mkuu Hii kauli huwa naitumia sana nikiwa na jamaa zangu Sent using Jamii Forums mobile app
Davet said: Unajiita shabiki wa mpira alafu hushabikii Barca utakua unatania...... Hongereni kwa ushindi wajuaji wote wa soccer humu ndani naona ubingwa huu hapa Click to expand... Hahaha waambie mkuu Hii kauli huwa naitumia sana nikiwa na jamaa zangu Sent using Jamii Forums mobile app
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,014 Mar 3, 2019 #26,671 bardizbah said: Hahaha waambie mkuu Hii kauli huwa naitumia sana nikiwa na jamaa zangu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahah ndio hivyo mkuu.. Mpira mzuri dunia nzima wanacheza Barca
bardizbah said: Hahaha waambie mkuu Hii kauli huwa naitumia sana nikiwa na jamaa zangu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahah ndio hivyo mkuu.. Mpira mzuri dunia nzima wanacheza Barca
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Mar 5, 2019 #26,672 Krizy Beat said: Hongera nawe pia kwa ushindi japo sikufuatilia game, Click to expand... Mi nilipitiwa na Usingizi nikaja kuamka muda ambapo goli lenyewe tulishalipata. Ila nikamalizia dkk zilizobakia
Krizy Beat said: Hongera nawe pia kwa ushindi japo sikufuatilia game, Click to expand... Mi nilipitiwa na Usingizi nikaja kuamka muda ambapo goli lenyewe tulishalipata. Ila nikamalizia dkk zilizobakia
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Mar 5, 2019 #26,673 Shadeeya said: Mi nilipitiwa na Usingizi nikaja kuamka muda ambapo goli lenyewe tulishalipata. Ila nikamalizia dkk zilizobakia Click to expand... Mtoto mzuri unapitiwa na usingizi?? Huogopi popobawa??
Shadeeya said: Mi nilipitiwa na Usingizi nikaja kuamka muda ambapo goli lenyewe tulishalipata. Ila nikamalizia dkk zilizobakia Click to expand... Mtoto mzuri unapitiwa na usingizi?? Huogopi popobawa??
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Mar 5, 2019 #26,674 Asprin said: Mtoto mzuri unapitiwa na usingizi?? Huogopi popobawa?? Click to expand... Huku NAMTUMBO hakuna. 🙈
Asprin said: Mtoto mzuri unapitiwa na usingizi?? Huogopi popobawa?? Click to expand... Huku NAMTUMBO hakuna. 🙈
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Mar 5, 2019 #26,675 Shadeeya said: Huku NAMTUMBO hakuna. 🙈 Click to expand... Shauri zako...
GREAT NAME JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 1,078 Reaction score 1,722 Mar 5, 2019 #26,676 Shadeeya said: Huku NAMTUMBO hakuna. Click to expand... Acheni kinichekesha Asprin Shadeeya
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,589 Mar 5, 2019 #26,677 Krizy Beat said: Acheni kinichekesha Asprin Shadeeya Click to expand... Hahaaa. Babu huyo ndio chanzo.
Krizy Beat said: Acheni kinichekesha Asprin Shadeeya Click to expand... Hahaaa. Babu huyo ndio chanzo.
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,334 Reaction score 8,813 Mar 5, 2019 #26,678 pancho boy said: Naskia sergi Roberto kakamatwa na polisi kisa wakati anatoka walimkuta kamuweka vc Jr mfukoni eti! Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
pancho boy said: Naskia sergi Roberto kakamatwa na polisi kisa wakati anatoka walimkuta kamuweka vc Jr mfukoni eti! Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,334 Reaction score 8,813 Mar 5, 2019 #26,679 Tayari mtu huko ashalizwa 2 na Ajax 😀😆
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,938 Mar 5, 2019 #26,680 Wqzer leo nimeliamishia shangwa kwenye uzi wa madridiot.... Nasapoti mchezaji wetu De jong Sent using Unknown device
Wqzer leo nimeliamishia shangwa kwenye uzi wa madridiot.... Nasapoti mchezaji wetu De jong Sent using Unknown device