FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Gerald Pique kaonyesha ukomavu mkubwa Sana kwa Mechi ya Jana Amekuwa msaada mkubwa kwa timu. Huyu jamaa kwa sasa sasa ni Beki makini.

Kuhusu Arturo Vidal aliingizwa muda sahihi na alifanya Kazi sahihi. Nilipenda Sana ukabaji wa kibabe alioufanya. Vidal mtoto mtukutu, katili roho mbaya. Ipo haja El classico moja kocha ampe Kazi ya kucheza hatua kwa hatua na Ramos

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…