FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

*TUWAPIGIE KURA WASANII WETU MVP MUSIC AWARDS.* Hizi ni tuzo kubwa huko Nigeria. Turudishe heshima ya Tanzania.

Kwa kuwa wasanii wetu wengine wako wawili kwenye kipengele kimoja tupange tumpigie nani kura kila kipengele ili tusigawanye kura na tukashindwa kuchukua tuzo.

Vipengele:
*BEST MALE*
Hapa yupo Harmonize na Diamond. Tumpigie HARMONIZE kwa kuwa Diamond yupo kwenye vipengele vingine vingi.

*BEST FEMALE*
Tumpigie Maua Sama. Yupo peke yake toka Tz na East Africa

*BEST HIP HOP*
Hapa hakuna mbongo. Tumpe Khaligraph Jones mkali jirani yetu toka Kenya.

*BEST POP*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake toka Tz na East Africa

*BEST COLLABORATION*
Hapa kuna JIBEBE na KATIKA. Tuipigie kura KATIKA YA NAVY KENZO kwa kuwa Diamond bado yupo kwenye vipengele vingine vingi. Isitoshe na kwenye KATIKA yumo

*DIGITAL ARTIST OF THE YEAR*
*Tumpigie Diamond Platnumz.* Hapa yupo peke yake kutoka Tanzania & East Africa

*BEST GROUP OF THE YEAR*

Tuwapigie Navy Kenzo

*SONG OF THE YEAR*
Hapa kuna *African Beauty ya Diamond*, na kuna *KWANGWARU* ya Harmonize na Diamond. Tuipigie *KWANGWARU* maana itapata kura nyingi zaidi toka nchi nyjngine za Africa kwa kuwa mpaka sasa ndo most viewed African music video kwa 2018. Na pia Diamond yumo

*BEST NEW ARTIST*
Tumpigie MBOSSO. Yupo peke yake kutoka Tz & East Africa

*LISTENERS' CHOICE*
Hapa ipo KATIKA ya Navy Kenzo na KWANGWARU ya Navy Kenzo. Tuipigie KATIKA ya Navy Kenzo maana KWANGWARU tushaipigia hapo juu

*AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR*
Tumpigie NAHREEL yupo peke yake kutoka Tz & East Africa

*AFRICAN ARTIST OF THE YEAR*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake kutoka Tz & East Africa

*JINSI YA KUPIGA KURA*
Click hii link
Soundcity MVP Awards Festival – Nominees are… Vote Now

Utakutana na vipengele vya tuzo zenyewe na majina ya wasanii husika (Nominees) gusa msanii unayempigia kura. Kura nu mara 1.

Tuache team zisizokuwa na maana. Tulete tuzo nyumbani.

*SAMBAZA KWA GROUPS ZAKO ZOTE*
 
Acha kuchanganya madesa wewe
 

Mkuu hili sio jukwaa la wakatika viuono, tafadhali mkuu futa haraka! Wengine na music mbali mbali...
 
King wa dunia kuwahi kutokea huyooo...and the 6th one is on the way!
Huyu jamaa ni exceptional kwa kweli... Sio mtu wa kawaida.... Yani haachi kutupa wonders day aftr day...

Messi!!!........ Sio poa kabisa

Goal involvements ya sasa ni balaa...

Goli 60 msimu huu si haba... Naziona hizo hapoo

Oh my God
 


Akiwepo uwanjani raha tupu, dah unatamani mpira usiishe 😀😀...mpaka sasa ana hattrick 43 + 6 national team=49 Hattrick, na amescore jumla ya magoli 660 mpaka sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…