FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Lakini kumbuka kwa game ya jana hatukua na natural right back (Semedo), alishindwa kucheza kutokana na majeruhi. Na hiyo ilibainika muda mchache kabla ya game kuanza. Kwa maoni yangu, Lenglet anajitahidi sana japokuwa hawez kuwa perfect 100% kila game....

Na kama unafuatilia game zote, magoli mengi tuliyofungwa yametokana na makosa ya Jerad Pique...
 
Droo kamili:

Manchester United v PSG

Schalke v Manchester City

Atletico Madrid v Juventus

Tottenham v Borussia Dortmund

Lyon v Barcelona

Roma v Porto

Ajax v Real Madrid

Liverpool v Bayern Munich

Mechi za kwanza zitachezwa 12-13 na 19-20 Februari, na mechi za marudiano 5-6 na 12-13 Machi, 2019.
 
Gazzette la Spain, Le Mundo limeandika kwamba Messi No yake ya jersey iondolewe na badala yake iandikwe "Bio Hazard" na likamuuliza Pele kama mpira ameuona?
Atajuta kulopoka, na asipoangalia anaweza jitoa ktk mitandao ya kijamii maana sikwa aibu inayompata sasa. Acheki assist ya goli la kwanza na goli la pili tu (Hayo yamepatikana kwa ufundi, weredi na uwezo mkubwa wa Messi10 alionao). Maana akicheki yote anaweza poteza fahamu eti...
 
Vibonde? Wamempiga man city away na kusuluhu nae home ground! Watch were your going
Olympic Lyons are hard nut to crack. Siyo vibonde kihivyo, nikuwakazia mwanzo mwisho ili kuepuka yaliyotupata msimu uliopita. Alafu ¼ fainali tukutane na Roma ili tulipe nawao wa'feel kwa pinch ile ile tuliyoipata msimu uliopita.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…