FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Daah kuna "turn" 1 hivi kali aliifanya, ilikuwa balaa balaa yaani...!!!!
 
Breaking news :Breaking news...The king is back....amepona haraka than expected ....hii habari haina zaidi ya dakika 10
Tukiwa bado tunaelekea game ya ufunguzi wa Copa de Ley almost robo tatu ya wachezaji wa firat eleven wamepumzishwa na watoto akina Malcom,Carles Arena,Chumi,Samper ,Dennis Suarez , S Roberto Lenglet (mgeni) ,Semedo ,Dembele na mkongwe Vidal wakiwa wanaiwakilisha team ,imeripotiwa Messi anafanya mazoezi uwanjani right now katika ku speed recovery

Habari zaidi to come
 
Habari njema hii. Nami nimeifuma "Barcelona Live App" habari hii.
 
Haha yani unavyojua kupamba muandiko.... Nilikuwa naisoma hii makala hapa kwenye gari, hizo paragraph 3 za mwisho zimenifanya nicheka bila hiyana.....


Kwa jinsi ninavyoipenda barca... Umeibariki siku yangu...

HASHTAG We color football

Visca Barca
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…