Ndio.ni mdogo wake na Thiago Alcantara
Yeah Mkuu, wote na Kaka yake Thiago Alcantara wa Bayern wamepikwa La-masia hao.
Basi ndio mana alianza kikosi cha kwanza na watu walishangaa kwanini kaanza kwenye ile game kumbe alishapandikizwa chuki juu ya Clasico tokea utotoni, chuki ambazo wakina Dembele hawanaNdio mkuu..
Eeeh huyu kijana ni balaa sana alitaka kumvunja Marcelo ndani ya eneo letu la hatari, kwa turn aloifanya nikajua labda itakua penaltyKwa kweli wakuu yule SEMEDO ni moto mwingine.
Kakimbia kuvuli Cha Mess amekutana na kivuli Cha Mbappe. DuuhNasikia alikuwa anomba kurudi, hadi analia kuubembeleza uongozi wa Barca umruhusu arudi. Kabakie huko huko tu au wakachukue Vibonde wetu kama lengo lake ni kurudi Spain...
Katajutia sana kosa hilo ktk maisha yake yote...
Kumbe hawa jamaa ni brothes?Yeah Mkuu, wote na Kaka yake Thiago Alcantara wa Bayern wamepikwa La-masia hao.
October utakuwa mwezi mgumu sana kwa barcelona.(watabiri uchwara)
• Barça vs Spurs: 4-2
• Barça vs Sevilla: 4-2
• Barça vs Inter: 2-0
• Barça vs Real: 5-1
Gerrard pique vs real madrid
2-6
5-0
0-4
0-3
5-1
ukisikia karma is mother fu**** ndio hii
Real Madrid
14 points
14 goals scored
14 goals conceded
Balanced diet ni muhimu sana
Kumbe ndio anafunga goli la 5huyu jamaa jana ndo alikuwa na furaha nahisi kuzidi wengine wote maana ile shangilia utafikiri alikuwa anasawazisha dakika za mwisho
Macelo alitaka kutamba kocha akaingiza kiboko yake, Macelo akaona isiwe tabu ngoja nitoke
Yule mupe, yule mruke!kuna muda luka maduara na mdogo wake kroos walikuwa wanakimbia duara kuna mambo mengine sio ya kucheka dogo melo sijui anatafuta nini kwa wakubwa zake mbaya zaidi kaka zake sergio na rakitic wanampa yeye majukumu ya kufanya unyangindo
Kabisa, ingawa sometimes huwaga anachoma utambi.hua naumiya sana nikimuona nelson semedo anapigwa ubao huyu jamaa ni nhatari sana anapanda na mpira kwa kujiamini na anarudi fasta
Hahahahahaaaakuna muda luka maduara na mdogo wake kroos walikuwa wanakimbia duara kuna mambo mengine sio ya kucheka dogo melo sijui anatafuta nini kwa wakubwa zake mbaya zaidi kaka zake sergio na rakitic wanampa yeye majukumu ya kufanya unyangindo
Nibalaaa balaaa MkuuKakimbia kuvuli Cha Mess amekutana na kivuli Cha Mbappe. Duuh
Yeah man!!!Kumbe hawa jamaa ni brothes?
Usijali mkuu, Classico ijayo tutafukuza mwingine pia!Asanteni sana BARCELONA kwa kutufungia virago kocha wetu Real Madrid.
Haya ndio majibu huwa nayataka kudadadekiUsijali mkuu, Classico ijayo tutafukuza mwingine pia!
halafu angeingia tangu first half Marcelo au kule left flank Madrid wasingekua wanashambulia hata kidogo kama walivyojaribu kipindi cha kwanza wakaweza kidogo kupiga crossesMacelo alitaka kutamba kocha akaingiza kiboko yake, Macelo akaona isiwe tabu ngoja nitoke
ha ha ha umemjibu vizuri ,mimi sitatia neno kama Sergio Roberto alikua anaweza ku dribble ,anatoa assists vile,ana crosses vile.. hakika na semedo angelianza hawa jamaa nafumba macho naomba naona spaces kibao kwenye defence yao,naona Suarez anarudi na goli tatu huku akiwa amekosa tatu nyingine ..hakika hakika nasema.. madrid juzi alikua anafungwa goli 10 kama Messi angekuwepoupo sahihi mkuu real madrid ndio wababe wa soka duniani kwa ngazi ya klabu kwa miaka 3 mfululizo lakini pia na wewe unapaswa ukubali ya kwamba barcelona ndiye mbabe wa real madrid kwa miaka 10 hii.
rudi tena ukaangalie takwimu zenye kuwakutanisha wababe hao wawili.
kwenye miaka 10 hii real madrid ameshafungwa mara mbili magoli 5 na bila ya kusahau aliondoka uwanjani na kapu lenye magoli 6. kama ni mshabiki wa real madrid basi unapaswa uonyeshe heshima kubwa sana unapoijadili barcelona.
kwa jinsi defence yenu ilivyokuwa inakatika ovyo kama wachezaji wa ngoma ya baikoko siku ya jana laiti kama angelikuwepo mungu wa mpira ndani ya uwanja usingelikuwa na nguvu ya kuja kuandika comment yako humu ndani.
anakusalimia sergio roberto, eti baada ya mechi kumalizika sergio alimuuliza valverde hivi mechi ya el classico tunacheza lini tena?
https://fussball.wettpoint.com/en/h2h/757-747.html
mkumbushe recent sackings nyingine ni ile Rafel Banitez alifukuzwa baada ya kula goli tatu bila dimbani kwaoUsijali mkuu, Classico ijayo tutafukuza mwingine pia!