FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu umeongea vzr lkn nitofautine na wewe, barca kwa sasa sehemu kubwa yenye shida ni upande wa kushoto yaani winga ya kushoto. Upande wa kulia hakuna shida messi yupo, pia ujue uwepo wa messi unamaasha yeyote atakaye kuja upande huo hawezi azaa yeye kucheza badala ya messi na ndio maana unasema hata dembele haeleweki ni kwasababu tu anacheza upande wa mfalme messi.
William sio umhimu wake, hata grezman sikuwa naona umhimu wake pia
 
Nasikia msimu ujao Roberto atacheza katikati na Semedo kahakikisiwa nafasi labda yatokee mambo mengine
 
Sometym namchukia sana Valverde, sijui kulikuwa na ulazma gani wa kumsajiri maana mtu hujampa nafasi halafu unasema huna mipango nae
Barca kupiria kwa mkurugezi mpya wamesema hawana mpango wa kumuondoa, na nafasi ya kucheza hawawezi kusema mana liko ndani ya kocha.
Ila ngoja tusubiri mana muda ni mwamuzi wa mwisho
 
Nafurahi kwamba, PSG wamekataa kumuuza Rabiot. Hii inatoa fursa ya kumchukua dogo wa Ajax, Frenk de Jong. Hasa ukizingatia kwamba wanaelekea kumpata mbadala wake kutoka Man U. Nasikia chalii yuko poa sana na ana miaka 21 tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…