Velverde ana kesi ya kujibu siku ya AC Roma nimekumbuka kudadadeki roho ishaanza kuuma
Kwanini team haikucheza kama inavyofanya leo? Daah anyways Copa Del Ley tayar la kwetu
Velverde ana kesi ya kujibu siku ya AC Roma nimekumbuka kudadadeki roho ishaanza kuuma
Kwanini team haikucheza kama inavyofanya leo? Daah anyways Copa Del Ley tayar la kwetu
Kabisa Mkuu, ila imekuwa ni fundisho kubwa sana kwake, maana 7bu kubwa ya kucheza hovyo dhidi ya Roma na kutolewa ni kwamba Valverde hakuzingatia "rotation policy" kabla na hata siku ya game yenyewe, hivyo karibu wachezaji wote walikuwa hoi bini taabani.
wiki hii tunainua kwapa, wiki ijayo pia tunainua kwapa!!. Ngoja nikalinyoe🙂🙂🙂. Siku zingine huyu Ndege akumbuke kuwa the best way to defend yourself is to attack. Leo nzonzi haonekani, ngoja, inawezekana Coutinho ndiyo ingredient iliyokosekana? au RB ya Roberto ni nzuri kuliko Semedo? Au Dembele hafai kule mbele? bado si helewi kwanini tumecheza poa namna hii🙄🙄🙄