FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kukutana na real Madrid ligi ya mabingwa ulaya ni sawa na kushindana na Ccm uchaguzi mdogo ,hata ufanyike Kilimanjaro kule siha ,Ccm itashinda kwa ushindi wa kishindo
Irrelevant example nakuona hofu ilikushika
 
Mkuu unanifurahisha ulivyokuja jukwaani unajaribu kubishana kwa hoja ulizonazo maana wenzio wanakujaga na kejeri tu. Ila sasa tatizo lako unatanguliza mapenzi zaidi kuliko uhalisia
Wewe umeishi kwa mazoea na ndio yanakutafuna. Kwa hiyo ulitaka mimi niwe kama wao.?
 
Ndio maana nmekuambia nimefurahi kuona mtu kama wewe yaani umekua tofauti na wengine, inshort nilikua nakupongeza sio kukudis.... umenielewa vibaya kiongozi wangu
So sorry mkuu. Nilienda kwa mihemko sikukuelewa. Nimepitia tena.
 
Hebu acha vituko wewe. Mkikutana na Juve au Liver wanawatoa nyie. Kombe hamchukui

Na wavaa sidiria si mlisema hivyo hivyo lakini nini kimetokea?? Mbona unajitoa ufahamu mkuu...kama Real madrid, Atletico, man city, Man u, Chelsea, Arsenal, Bayern, PSG na Juve wameolewa tena magoli mengi yametoka kwa Mfalme..sasa washindwe kitu gani kwa Livermasikini ambae yupo top4!!!! Juve nae hatutishi,, kwa uwepo wa Dybala naamini itafanya vizuri sana kwa timu zingine lakini sio Barca ya King Messi. Sometimes tuwe wa kweli...
 
Mkuu unatumia uahabiki sana.
 
Jamani tuombe fungeni macho
Eeh Mungu kama ambavyo ulitupatia chelsea hatua ya 16 bora ,vile vile fanya maajabu utupatia Real Madrid kwenye robo fainali Amen

#Forca_Barca
Naomba dua ya kumtia uoga adui


Kati ya hawa watatu naombea mmoja wao tupewe mimi wa kwanza kutoa mahari...

Madrinyonyo
Man city
Bayern
Juve or Livermasikini.
 
Unafurahia kumfunga timu ambayo inafungwa na Watford 3-0,wanafungwa na man united & city
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…