Emmanuel Alden
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 388
- 486
Pole wewe ulietabiri hayo madogo wenzako tumetabiri mechi zote za mtoano uefa msimu huu na mpaka sasa hatujakosea na Leo tuntabiri Chelsea anaaga rasmi. wasemaje??nilitabiri Madrid ingemfunga PSG.
nilitabiri juventus itamfunga spurs
nilitabiri arsenal itamfunga ac Milan
na leo natabiri Chelsea itamfunga barca.
iwe ndani ya 90,au ndani ya 120 au matuta.
barca OUT.
Ungejua umuhimu wa kukutana uwanjani usingekuja na vi utabiri uchwara!tukutane uwanjani relax
One good season and you already think he can play for Barca!Leteni million 200 tuwauzie Mo Salah, maana sikuhizi Liverpool imekuwa academy ya Barca.
Nina uhakika.Ungejua umuhimu wa kukutana uwanjani usingekuja na vi utabiri uchwara!
Welcome to Camp Nou, the football Cathedral!
angalia msije kuwa kama wayahudi.Wewe kama nani ?shabiki la Madrid hili unadhani ataitakia mema Barcelona ?go to hell leo Fc Barcelona 3-Chelsea 0
NEVERRRRRRPole wewe ulietabiri hayo madogo wenzako tumetabiri mechi zote za mtoano uefa msimu huu na mpaka sasa hatujakosea na Leo tuntabiri Chelsea anaaga rasmi. wasemaje??
Huna lolote unaiogopa Barca na Powerz zakeangalia msije kuwa kama wayahudi.
waliomtafuta yesu baada ya kupaa ndo wakaona umuhimu wake.
all the best.
Shame on you fView attachment 714452
This is what's going to happen tonight. Fucker Uefalona
Duuh mkuu hadi huku?Jamani leo nimepita hiyo sehem ambayo kila nikipita huwa barcelona inafungwa.
Kuweni makini
We ni dada hayo mapumbu unayatoa wapiTonight nitakua naangalia mpira huku nimebinya mapumbu.
William akitupia kamoja, Hazard akamalizia kapili nazima taa nalala.
Ahsante sana mkuu leo Kocha kaingia akilini mwa wapenzi wa Barcelona kwa kikosi icho. Chelsea akitoka leo apo labda Ngolo Kante awapeleke Msimbati kwa Bibi SomoeBarca Vs Chelsea tonightView attachment 714929
Mkuu tukishinda ntafrahi sana leoAhsante sana mkuu leo Kocha kaingia akilini mwa wapenzi wa Barcelona kwa kikosi icho. Chelsea akitoka leo apo labda Ngolo Kante awapeleke Msimbati kwa Bibi Somoe
Match ya leo ngumu mno ila kwa kikosi icho aseee nina imani nacho leo tunashinda mkuu mana angeniekea kina Gomez apa ningejua tunakufa. Leo wametuekea Giroud ndo no.9 eti. Mkuu leo hawa wetuMkuu tukishinda ntafrahi sana leo
HahahaDuuh mkuu hadi huku?
Hahaaaaaaa Giroud, ngoja tuoneMatch ya leo ngumu mno ila kwa kikosi icho aseee nina imani nacho leo tunashinda mkuu mana angeniekea kina Gomez apa ningejua tunakufa. Leo wametuekea Giroud ndo no.9 eti. Mkuu leo hawa wetu