Neymar kacheza PSG game 23 lakini kamzidi goals gaucho aliyecheza mechi 90+
Leta statistics matusi hayana nafasi
Leta statistics, hapa tunataka datawewe kweli mpira hujui mbwea wewe shabiki wa neymoney shangilia basi psg sababu yupo huko.....hivi unajua ballon d'or na mchezaji bora wa dunia walikuwa wanatazama uwezo binafsi kubeba team inapokuwa ipo kwenye hali mbaya uwanjani sasa ndio mwanaume gaucho ndio alichokuwa anakifanya mpaka anachukua hizo tuzo na za mchezaji bora wa dunia...tazama zidane anachukua tuzo kwa uwezo binafsi uwanjani...nedved anapewa tuzo mchezaji bora ulaya juventus yote ilikuwa mapegani kwake....ndio maana nakwambia wewe mbwea kajifunze mpira nyinyi ndio mashabiki upepo mnajazana kwenye page yetu ya barca
Kaka mpira wa Gaucho siyo wa Neymar alafu wanacheza nafasi gani tuanzie hapoNeymar kacheza PSG game 23 lakini kamzidi goals gaucho aliyecheza mechi 90+
Leta statistics matusi hayana nafasi
Wote ni free role playersKaka mpira wa Gaucho siyo wa Neymar alafu wanacheza nafasi gani tuanzie hapo
wewe kweli mpira hujui mbwea wewe shabiki wa neymoney shangilia basi psg sababu yupo huko.....hivi unajua ballon d'or na mchezaji bora wa dunia walikuwa wanatazama uwezo binafsi kubeba team inapokuwa ipo kwenye hali mbaya uwanjani sasa ndio mwanaume gaucho ndio alichokuwa anakifanya mpaka anachukua hizo tuzo na za mchezaji bora wa dunia...tazama zidane anachukua tuzo kwa uwezo binafsi uwanjani...nedved anapewa tuzo mchezaji bora ulaya juventus yote ilikuwa mapegani kwake....ndio maana nakwambia wewe mbwea kajifunze mpira nyinyi ndio mashabiki upepo mnajazana kwenye page yetu ya barca
Inaonekana wewe shabiki wa Neymar nahakika mpira haufahamu huwa unapewa hadithi na umeujua mpira baada ya Neymar kwenda BarcaWote ni free role players
Mashabiki wa gaucho lazima mtukane maana mnamtetea, utamtetea kwa lipi kukata viuno uwanjani au kuweka mpira kichwani?kumbe nabishana na kenge ambae hajui mpira...nenda kasukane nywele na dada yako maana hicho ndio unachojua
Hii comment na swali ulilouliza na jibu nililokupa vinalingana?Inaonekana wewe shabiki wa Neymar nahakika mpira haufahamu huwa unapewa hadithi na umeujua mpira baada ya Neymar kwenda Barca
N
Nyie mnaoitana mbweha sijui nani,kila mtu ana zama zake tuweele hilo kwanza.Na nakumbuka Gaucho kacheza na Messi na Baadhi ya hao ma Legendary dakika zao za mwisho.Wote wametoa mchango mkubwa sana kwa Barca kuanzia Gaucho na Bwana Messi.Gaucho alikuwa Bora katika ubora wake na lionel Ni bora kwa sasa katika ubora wake.
Mashabiki wa gaucho lazima mtukane maana mnamtetea kilaza utamtetea kwa lipi kukata viuno uwanjani au kuweka mpira kichwani?
Ukija kwenye number ni zero nothing he done
Gaucho alicheza kama attacking midfielder au forwardWote ni free role players
Zipo data na statistics nimeweka post za nyuma nenda ukatizame then urudi hapaHii comment na swali ulilouliza na jibu nililokupa vina lingana?
Jipime mkuu huenda afya yako ya akili ni mbovu
Forward na second striker au winger vina tofauti gani?Gaucho alicheza kama attacking midfielder au forward
Neymar anacheza kama left winger/ centre forward ama secondary striker
Nadhani hapo umepata tofauti ya kwanza kati ya watu hao
Sijasema secondForward na second striker au winger vina tofauti gani?
Hizo data leta compare na za neymar goals na assist hapo ndipo utapogundua kuwa gaucho was overratedZipo data na statistics nimeweka post za nyuma nenda ukatizame then urudi hapa
Rudia kusoma post yako nyuma kama haina neno second strikerSijasema second
Angalia vyema
Na pia forward inategemea anacheza nafasi ipi
Akashida tuzo zote muhimu ktk huu mchezo na makombe yote muhimu pia anayo kazi kwako na hao akina hoehae wako wanaojipodoaHizo data leta compare na za neymar goals na assist hapo ndipo utapogundua kuwa gaucho was overrated
Kwenye mpira hakuna secondary strikerSecondary striker
Mbugila wewe