Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
Tena bora mviziaji kuliko gaucho anaesifiwa kwa kuweka mpira pajani na kifuani
Its too pathetic ujinga mtupu
Sure gaucho alikuwa mchezea mpira sio mcheza mpiraNikiweka ushabiki mandazi pembeni cr7 kamzidi gaucho mbali sana na sio mafanikio tu pamoja na vitu vingi tu except nidhamu. Sasa anakuja mtu anamcompare na Mfalme mwenye mpira wake. Wabongo bana vichekesho kweli kweli ndiomaana kwenye interview nyingi huwa tunafeli
Sure gaucho alikuwa mchezea mpira sio mcheza mpira
Barca sasa wanacheza kulingana na context ya game ndani ya uwanja. Kipindi cha pili wale madogo walishangaa kuona wanapigwa 5-0 ndani ya dk 30 za mwisho. Ilikuwa kama maigizo hivi kumbe ni muujiza/maajabu ya yaliyofanywa kwa muda mfupi tu.Ter Stegen ni sawa na mchezaji wa ndani-first half Real betis wanakuja juu yeye ndio kwanza anawapunguza kasi kwa kukaa kaa na mpira without any worry
Siku hizi Barca inafurahisha sana kwa kubadilisha mchezo. Ukiangalia ile mechi ya Madrid na Ile ya Rsociedad na hata ya jana zote tulobadili mbinu kipindi cha pili. Pia EV anawekaga sub zenye matokea sana. Siku hizi hata tukianza kufungwa sinashaka naju mzee atatune mambo mawili matatu na kushinda. Espanyol wajiandae kwa kipigo Alhamisi.Barca sasa wanacheza kulingana na context ya game ndani ya uwanja. Kipindi cha pili wale madogo walishangaa kuona wanapigwa 5-0 ndani ya dk 30 za mwisho. Ilikuwa kama maigizo hivi kumbe ni muujiza/maajabu ya yaliyofanywa kwa muda mfupi tu.
Yaani kwamba hivi, siku hiyo watajuta kwanini first leg walitufunga Mkuu...Siku hizi Barca inafurahisha sana kwa kubadilisha mchezo. Ukiangalia ile mechi ya Madrid na Ile ya Rsociedad na hata ya jana zote tulobadili mbinu kipindi cha pili. Pia EV anawekaga sub zenye matokea sana. Siku hizi hata tukianza kufungwa sinashaka naju mzee atatune mambo mawili matatu na kushinda. Espanyol wajiandae kwa kipigo Alhamisi.
Dah! Inauma sana ila hatuna budi kukubaliana na ukweli, tujipange vizuri tuu kukabiliana na changamoto zilizopo mbele yetu.View attachment 683102
Daaah sad news ,legend anaondoka watamfanyia farewell
Hata siamini aisee sometimes its hard to say Goodbye
Am honestly very sad ,nilikua namuaminia sana akikaa kule nyuma The lion ,beast huyu jamaa moja ya sufa yake kuu ni imani ngumu,hata match iwe ngumu vipi ,vilevile ni undefeated haiwezekani umpite halafu akutazame tu lazima akurambe "ngwala" pia kwenye gym session ndo anaongoza kunyanyua uzito mkubwa
The man is so loyal,determined, diligent goodluck kwake aendakoDah! Inauma sana ila hatuna budi kukubaliana na ukweli, tujipange vizuri tuu kukabiliana na changamoto zilizopo mbele yetu.
Gaucho aliufahamu mpira na aliweza kuucheza mpira embu acheni chuki binafsi hata Mess anakiri hili na anatambua mchango wa Gaucho katika sokaSure gaucho alikuwa mchezea mpira sio mcheza mpira
Wacha statistics ndg ila kumbuka Gaucho ndiyo aliyofanya wengi waupende huu mchezo wa soka acheni chukiWatu wa ajabu sana hawa mkuu. Ukiwaomba statistics hawaleti why???? Mtu eti anasifia kitu without-any-evidence!!! Wabongo bana.
Messi anasema vitu vingi alijifunza kwake anamuita the great manGaucho aliufahamu mpira na aliweza kuucheza mpira embu acheni chuki binafsi hata Mess anakiri hili na anatambua mchango wa Gaucho katika soka
Guardiola anasema hakuwahi kumwona mwanasoka mwingine bora kuliko Gaucho mpaka pale messi alipotokeaMessi anasema vitu vingi alijifunza kwake anamuita the great man
Wacha statistics ndg ila kumbuka Gaucho ndiyo aliyofanya wengi waupende huu mchezo wa soka acheni chuki