Nmetafuta cha kuongeza nmekosaMessi is:-
Unique
Priceless
Mesmerizing
Incredible
Brilliant
Memorable
Sensational
Fascinating
Humble
Magnificent
Perfect
Spectactular
Genius
Exceptional
Phenomenal
Wonderful
Loyal
Unforgettable
Lushvishious
Magical
Deadly
Inhuman
Enormous
Superb
Hero
Inspirational
Passionate
Consistent
Nilipitiwa na Usingizi mapema saana.Baada ya kukashifiwa sana na Kule Bernab..si unajua last week tulilala kimoja na jamaa wale kwao.Nikasema ngoja nione nini kitafanyika usiku wa jana,nashtuka kucheki you tube.Daah Lionel Messi mambo yake kama Jack Sparrow...hahaaahaaaa..Msichukie upande wa pili.Kama namuona Gaucho kwa mbaliiiiiiiii...na wengineo wengineo kule upande wa pili...za mchana ndugu zangu.Nmetafuta cha kuongeza nmekosa
Yaani uliacha utamu adimu kabisa wa fundi a.k.a mchawi wa soka duniani, Messi10. Wale Mabeki watakuja simulia Hadi Vitukuu vyao.Nilipitiwa na Usingizi mapema saana.Baada ya kukashifiwa sana na Kule Bernab..si unajua last week tulilala kimoja na jamaa wale kwao.Nikasema ngoja nione nini kitafanyika usiku wa jana,nashtuka kucheki you tube.Daah Lionel Messi mambo yake kama Jack Sparrow...hahaaahaaaa..Msichukie upande wa pili.Kama namuona Gaucho kwa mbaliiiiiiiii...na wengineo wengineo kule upande wa pili...za mchana ndugu zangu.
Joaquin (Real Betis): "Our manager told us before the game he has been planning the whole week how to stop Messi. Yet he ended up with 2 goals and 1 assist. No one in the world can stop him. He's the best in history, no doubt."
Leo, these men have families to go home to! And how can people watch this and compare him to Cristiano? Just HOW?! To make comparisons with Messi you need to make Messi make sense. And he doesn't make sense.. the things he does with that football come from another planet!
The only way to stop Messi is to pause the video when he is in form like this
Ni vionjo vya watu juu ya huyo bwana Mkubwa Lionel Messi,leo majirani zangu hawajaongea kabisa baada ya kashfa za jana.
Just wait nd seeGOLIKIPA WA BETIS (ALITOKEA "REAL MADRID YOUTH TEAM") KUHUSU MESSI10 BAADA GAME.
It's spectacular. In the first half he had not appeared. He seemed to be walking. But he takes four balls to score two goals and give two assists. He makes this sport better."
Wabongo tatizo uvivu. Mtu mtangazaji anashindwa kusoma na kufanya utafiti kuhusu wachezaji na timu. Yaani hao wanaotangaza la liga walitakiwa ndiyo wawe maexpert. Inaudhi na kuabisha sana.Siwapend baadhi ya watangazaji wa AzamTv hasa ktk mpira wa majuu. Hawajui kabisaaaaa hata majina ya wachezaji ndio hvyo kuna siku samedo alika anaitwa segio roberto toka mwanzo mpaka mwisho nkawa najiuliza hili lijamaa linafanya kusudi au halijui? Wako local sana bora wawaachie vijana akina hashim ibwe na yule sijui walter harrison.
MkuuNilipitiwa na Usingizi mapema saana.Baada ya kukashifiwa sana na Kule Bernab..si unajua last week tulilala kimoja na jamaa wale kwao.Nikasema ngoja nione nini kitafanyika usiku wa jana,nashtuka kucheki you tube.Daah Lionel Messi mambo yake kama Jack Sparrow...hahaaahaaaa..Msichukie upande wa pili.Kama namuona Gaucho kwa mbaliiiiiiiii...na wengineo wengineo kule upande wa pili...za mchana ndugu zangu.
Ipo njia kubwa moja kumstopisha king Leo asifanye chchoteJoaquin (Real Betis): "Our manager told us before the game he has been planning the whole week how to stop Messi. Yet he ended up with 2 goals and 1 assist. No one in the world can stop him. He's the best in history, no doubt."
Leo, these men have families to go home to! And how can people watch this and compare him to Cristiano? Just HOW?! To make comparisons with Messi you need to make Messi make sense. And he doesn't make sense.. the things he does with that football come from another planet!
The only way to stop Messi is to pause the video when he is in form like this
Ni vionjo vya watu juu ya huyo bwana Mkubwa Lionel Messi,leo majirani zangu hawajaongea kabisa baada ya kashfa za jana.
Wanachambua mashindano ya magariSiwapend baadhi ya watangazaji wa AzamTv hasa ktk mpira wa majuu. Hawajui kabisaaaaa hata majina ya wachezaji ndio hvyo kuna siku samedo alika anaitwa segio roberto toka mwanzo mpaka mwisho nkawa najiuliza hili lijamaa linafanya kusudi au halijui? Wako local sana bora wawaachie vijana akina hashim ibwe na yule sijui walter harrison.
Kweli kabisaa...Mkuu
Ukiwa shabik wa barca ushind n suala la muda tu
unaanzaje kuchoka...na mambo kama yaleJamani nani ameingia YouTube kuangalia highlights za jana? Mm nimeangalia mara kadha bila kuchoka
Aisee kawanya nyasa mabeki wa Betis mpaka mafans wao wakamshangilia kama siyo kumshangaa. Mpira unampenda sana Messi10 kuliko yeye anavyoupenda...!!!
Yaani uliacha utamu adimu kabisa wa fundi a.k.a mchawi wa soka duniani, Messi10. Wale Mabeki watakuja simulia Hadi Vitukuu vyao.
"Kifupi alicheza kandanda ambalo si la dunia hii Mkuu." Alafu wanakuja watu flani hivi kumfananisha na mviziaji.
unaanzaje kuchoka...na mambo kama yale
Tena bora mviziaji kuliko gaucho anaesifiwa kwa kuweka mpira pajani na kifuaniSio mviziaji tu mpaka gaucho eti 😀