Fatuma Karume na Zitto Kabwe sasa hivi mko kimya

Hao ndo wadini kwamba serikali ya sasa inaogozwa na malaika hamna baya hata moja kweli ? Zitto kipindi cha Magufuli alikua anashinda anachambua riport za CAG na kila siku kumtumia kabendera kwenye magazeti ya The Economy kumbe walikosoa kwasababu ya dini ? Au Magufuli alifanya vibaya sana kwenye uchumi au alibana mirija ya watu upigaji 10% Siasa za kuaghai watu kama Zitto jengo lake la dodoma alikosa pesa kabisa ya Kulimaliza Chuki ikawa kubwa kwa Magufuli sasa unafikiri hatujui huyo Fartuma tumejua ni mdini
Vita ilikuwa ni ya mirija kukatwa ndio maana kila mwanasiasa njaa njaa alikuwa anapiga vijembe. Siasa za kina Tozi bweka na kina Aikaeli Wembo zime base kwenye kelele for bahasha.
 
Hii ni zamu ya BAKWATA, wanakenua na kujilimbwasa tu.
Ikifika zamu ya wengine utasikia mambo ya Nchi kuendeshwa ki Vatican, mxxxiiieeew zao washika Juzuu n Elimu zao Mbali mbali.
We ***** unauingizaje uislam kwnye siasa zenu za demokrasia...Hivi unajua kuwa demokrasia ni kinyume na Uislam?
 
Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi tunawatazama tu kwamba awamu ya Samia hakuna baya hata moja.

Uzuri kuimba ni kupokezana ni suala la mda tu japokua tumeshajua kwamba nyie ni wafia dini Hakuna kitu mtakuja kuzungumza kwenye jamii kikaelewela hata siku moja Zitto kipindi cha Magufuli ulikua unajenga ghorofa pale dodoma

Ulikua umeshindwa hata kumalizia lile ghorofa pale dodoma ndo maana ulikua na kelele nyingi sana kipindi cha Magufuli ulikua na ukata wa kifedha ulizoea vya kunyonga kwa sasa kwasababu uko kwenye asali unalamba kimya na ghorofa yako ulimaliza baada ya Magufuli kufa tunajua.

Fartuma huyu Uzanzimbar na Udini kwa sasa kila anachofanya Samia ni kizuri serikali yake inafanya mazuri tu
Operation komesha ''mfumo Kristo'' chini ya kamanda Mkwere in action. Msichojua ni nini`?
 
Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi tunawatazama tu kwamba awamu ya Samia hakuna baya hata moja.

Uzuri kuimba ni kupokezana ni suala la mda tu japokua tumeshajua kwamba nyie ni wafia dini Hakuna kitu mtakuja kuzungumza kwenye jamii kikaelewela hata siku moja Zitto kipindi cha Magufuli ulikua unajenga ghorofa pale dodoma

Ulikua umeshindwa hata kumalizia lile ghorofa pale dodoma ndo maana ulikua na kelele nyingi sana kipindi cha Magufuli ulikua na ukata wa kifedha ulizoea vya kunyonga kwa sasa kwasababu uko kwenye asali unalamba kimya na ghorofa yako ulimaliza baada ya Magufuli kufa tunajua.

Fartuma huyu Uzanzimbar na Udini kwa sasa kila anachofanya Samia ni kizuri serikali yake inafanya mazuri tu
Kwanz ni mswalihina mwenzao
 
Wakristo wanachuki dhidi ya waislamu chuki zao kujicha hawawezi
Lkn pia ni baadhi yao wengi wao ni Wezi hatari ndani ya
Serikali zetu ✍️

Hakuna mwenye chuki na waislamu watu wanakosoa cheo sio mtu
 
Hao ndo wadini kwamba serikali ya sasa inaogozwa na malaika hamna baya hata moja kweli ? Zitto kipindi cha Magufuli alikua anashinda anachambua riport za CAG na kila siku kumtumia kabendera kwenye magazeti ya The Economy kumbe walikosoa kwasababu ya dini ? Au Magufuli alifanya vibaya sana kwenye uchumi au alibana mirija ya watu upigaji 10% Siasa za kuaghai watu kama Zitto jengo lake la dodoma alikosa pesa kabisa ya Kulimaliza Chuki ikawa kubwa kwa Magufuli sasa unafikiri hatujui huyo Fartuma tumejua ni mdini
Nyie ni wapumbavu watu wa Bara mnaleta fitina kisa Rais ni Mzanzibari

Siasa mlizonazo Kwa Sasa ni za ukanda na udini Sasa ulitaka wasijitetee? Si mnatumia Katolili nyie tena Wana CCM ndio wanawatumia Chadomo.

Wako sahihi nawaunga mkono.

Mwisho Magufuli alifanya hovyo kwenye Uchumi kuliko Samia kwani ni Siri?
 
Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi tunawatazama tu kwamba awamu ya Samia hakuna baya hata moja.

Uzuri kuimba ni kupokezana ni suala la mda tu japokua tumeshajua kwamba nyie ni wafia dini Hakuna kitu mtakuja kuzungumza kwenye jamii kikaelewela hata siku moja Zitto kipindi cha Magufuli ulikua unajenga ghorofa pale dodoma

Ulikua umeshindwa hata kumalizia lile ghorofa pale dodoma ndo maana ulikua na kelele nyingi sana kipindi cha Magufuli ulikua na ukata wa kifedha ulizoea vya kunyonga kwa sasa kwasababu uko kwenye asali unalamba kimya na ghorofa yako ulimaliza baada ya Magufuli kufa tunajua.

Fartuma huyu Uzanzimbar na Udini kwa sasa kila anachofanya Samia ni kizuri serikali yake inafanya mazuri tu
Dalali TOZI si mtu wa kumuamini ,kashafika bei mapema.
 
Wakristo ndio wenye Chuki na mapepo juu kwa kuwachukia waislamu

Mfano Rais Jakaya Mrisho Kikwete kanisa katoliki wakaanza kutoa matamko yao ya kipumbavu
Kwamba JAKAYA Mdini

Alipokuja rip JPM waislamu wamekuwa kimyaa wameumbwa na subra

Kuondoka JPM kaja Rais Dk Samia Suluhu Hassan

Kanisa katoliki Mikelele na kwengine
Vijana wa Kikristo wameanza hatumtaki MAMA Samia ❌️

Mbona Waislamu hawana maushamba kama ayo?????

Kama Wakristo amna Chuki dhidi ya Waislamu

Twende kwenye HOJO kwanini
Hamumtaki uyo kwenu Samia jibu usikimbie??????
Jakaya kasomeshwa na wakristo, haya nyie waislam mmemsomesha kiongozi gani wa kikristo? Mna mchango gani kwenye history ya elimu hapa Tanzania?

Samia anachukiwa kwa matendo yake sawa na ya Boko Haram wa Nigeria yanayopitiliza ubinadam, ni katili, muuaji, mwizi/fisadi, dharau, mbaguzi, mtekaji, anachochea matendo ya kinyama kwa watekaji eg.ubakaji, sodomization, kuwatenga na dunia...slow death etc.

Haujiulizi Kwa nini watu hawamchukii shekhe Ponda ambae ni muislam pia? Uwe na akili kidogo.

Watu wanachukia matendo na sio dini ya mtu, ukiwa na matendo ya kishetani na kujificha kwenye dini, wewe ni shetani tu na utachukiwa na viumbe wa Mungu dunia nzima.

Dini ikikufanya uwe na matendo ya kinyama dhidi ya wanadamu wenzako hiyo sio tena dini bali ni itikadi ya kishetani, na dunia itakushighulikia tu.
 
Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi tunawatazama tu kwamba awamu ya Samia hakuna baya hata moja.

Uzuri kuimba ni kupokezana ni suala la mda tu japokua tumeshajua kwamba nyie ni wafia dini Hakuna kitu mtakuja kuzungumza kwenye jamii kikaelewela hata siku moja Zitto kipindi cha Magufuli ulikua unajenga ghorofa pale dodoma

Ulikua umeshindwa hata kumalizia lile ghorofa pale dodoma ndo maana ulikua na kelele nyingi sana kipindi cha Magufuli ulikua na ukata wa kifedha ulizoea vya kunyonga kwa sasa kwasababu uko kwenye asali unalamba kimya na ghorofa yako ulimaliza baada ya Magufuli kufa tunajua.

Fartuma huyu Uzanzimbar na Udini kwa sasa kila anachofanya Samia ni kizuri serikali yake inafanya mazuri tu
Zitto Kabwe aliuhakikishia umma wa Watanganyika beyond reasonable doubt ya kuwa ni mdini aliyekithiri, Fatma Karume kama ilivyo kwa majority ya Wazanzibari huwa ni kwamba Wazanzibari/Zanzibar kwanza na mengine baadaye ila kwenye mambo ya dini Fatma yuko liberal sana.
 
Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi tunawatazama tu kwamba awamu ya Samia hakuna baya hata moja.

Uzuri kuimba ni kupokezana ni suala la mda tu japokua tumeshajua kwamba nyie ni wafia dini Hakuna kitu mtakuja kuzungumza kwenye jamii kikaelewela hata siku moja Zitto kipindi cha Magufuli ulikua unajenga ghorofa pale dodoma

Ulikua umeshindwa hata kumalizia lile ghorofa pale dodoma ndo maana ulikua na kelele nyingi sana kipindi cha Magufuli ulikua na ukata wa kifedha ulizoea vya kunyonga kwa sasa kwasababu uko kwenye asali unalamba kimya na ghorofa yako ulimaliza baada ya Magufuli kufa tunajua.

Fartuma huyu Uzanzimbar na Udini kwa sasa kila anachofanya Samia ni kizuri serikali yake inafanya mazuri tu
zamu yao hii na wanakimbizana na muda maana umebakia muda kidogo sana hivyo waache wafaidi
 
Nyie jama chuki zenu juu ya uislamu munashindwa hata kuficha
 
Back
Top Bottom